Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

Ukijumlisha 17 za awamu ya nne na 17 za awamu ya sita bado hazimfikii Jiwe duh. Wamefanya vizuri kuomba msamaha wanatakiwa wasiwe wanaliweka jina la Jpm kwenye kushindanisha kwasababu hakuna siku watamshinda.
JPM kaacha alama za nguvu!
 
Ukijumlisha 17 za awamu ya nne na 17 za awamu ya sita bado hazimfikii Jiwe duh. Wamefanya vizuri kuomba msamaha wanatakiwa wasiwe wanaliweka jina la Jpm kwenye kushindanisha kwasababu hakuna siku watamshinda.
Kama hawezi shindwa mbona alikua anaogopa chaguzi huru na haki?. Kweli wajinga ndio mlikua mnamshabikia!!
 
Hakuna sindano ya dawa nzuri, ni maumivu, lakini kwa asilimia kubwa mgonjwa anapona. Kwa maneno mengine JPM alikuwa anashughulikia kiini cha matatizo hayo uliyoyataja!!
Kiini kipi? Mfano ufisadi bandarini na NIDA mbona alishindwa? Mfano vitambulisho tu mpaka leo watu hawana mwaka wa 10 sasa!!
 
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.

Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.

Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikuwa sahihi wanaomba radhi😂.

View attachment 2973698View attachment 2973699
Na hii taarifa fupi ya serikali juu ya mafanikio ya Awamu ya Tano nayo ina makosa?!!!!
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), 2020 Taarifa Fupi ya Kitakwimu Kuhusu Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Tano Juu ya Ukuaji wa Uchumi na Uboreshaji wa Maisha ya Watanzania. Dodoma, Tanzania: NBS.

Inaonekana NBS wameiondoa taarifa hii. Ila wengine tunayo tayari!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

National Bureau of Statistics - National Bureau of Statistics
 
Hao wengine walifanikiwa
Kiini kipi? Mfano ufisadi bandarini na NIDA mbona alishindwa? Mfano vitambulisho tu mpaka leo watu hawana mwaka wa 10 sasa!!
Hao wengine walifanikiwa kwenye hayo? Wa sasa amefanikisha kwa kiasi gani juu ya hayo?
 
Hakuna mwaka hakuna ufisadi hii nchi, niambie ni ripoti gani ya CAG enzi za JPM ilikuta hakuna ufisadi? Nitajie moja tu?. Ni wajinga tu walidanganyana eti hakuna ufisadi enzi za JPM wakati ripoti zipo wazi hata Google unazikuta.
Wewe mwenyewe ni sehemu ya wizi
 
Hoja ilikua kwamba JPM alizuia mianya ya kukwepa kodi ila mama anacheka cheka ndio nimewauliza mbona mapato yanaongezeka if at all mama kafeli kubana wakwepa kodi?

Kwa kukujibu tu, ni kwamba 70% ya mapato Tanzania yanalipa wagebill na Madeni. So kama unataka uone reflection ya pesa inayotumika angalia ajira alizotoa vs JPM ndio utaona wagebill ilivyo kubwa. Kingine bajeti za kilimo zimeongezwa same to miradi inayoendelea mfano SGR, JNHEP zote hizo interest rate zipo juu so deposits za kulipa mikopo na riba ziko juu na kila mwezi tuna deposit.

Nani kamhujumu? JPM mwenyewe alikua wazi kwamba mwekezaji haeleweki anamfukuza. Alikataa negotiations za bandari ya Tanga, alikataa mikataba ya gesi lindi, alifutia leseni makampuni ya madini, alifungia Bureau de change, alifungia biashara zisizolipa kodi n.k sasa kama yeye ndio alinyoosha wawekezaji kama Manji hadi wakakimbia nchi kivipi useme alihujumiwa?. Cha ajabu Mama samia ambaye hajatumia mabavu wala kukamata makinikia ndio ameongeza ukusanyaji mapato zaidi ya 30% kuliko JPM!! amewezaje?
Kwa sasa zimefunguliwa zimeleta faida gani inayokunufaisha wewe hapo ulipo unasumbuka kwenye mtandao bila tija yoyote?
 
Kama hawezi shindwa mbona alikua anaogopa chaguzi huru na haki?. Kweli wajinga ndio mlikua mnamshabikia!!
Anzisha polling yoyote na yeye awepo ikiwezekana na wewe ujiweke uone atakavyokuburuza na hao unaoona walifanya makubwa
 
Hao wengine walifanikiwa

Hao wengine walifanikiwa kwenye hayo? Wa sasa amefanikisha kwa kiasi gani juu ya hayo?
NIDA imefutwa na majukumu yake imepewa RITA na ipo kwenye process ya ku wind up. About TPA ufisadi umezidi wakaona apewe private sector, majibu tutayapata mwakani nikuhakikishie tu hao dp world hawawezi kuwa worse than TPA!!
 
Kwa sasa zimefunguliwa zimeleta faida gani inayokunufaisha wewe hapo ulipo unasumbuka kwenye mtandao bila tija yoyote?
Nipo private sector, na sababu ya sera nzuri za Mama, taasisi nayofanyia kazi ilipata investmenf funding nzito kutoka abroad na ndio inaniweka mjini. Unadhani kipindi cha JPM hao mabeberu wangeweza kuja? Maana aliona kila mwekezaji kama jizi tu.
 
Anzisha polling yoyote na yeye awepo ikiwezekana na wewe ujiweke uone atakavyokuburuza na hao unaoona walifanya makubwa
Mara ngapi? Nakumbuka 2020 polls nyingi za online zilionyesha Lissu was toe to toe na JPM mfano hii.
Screenshot_20240430-165545.jpg

Cha ajabu kila online poll alikua akishinda Lissu, nakumbuka humu JF ukaanzishwa uzi huu kukejeli kwamba Lissu ataapishwa urais na Mark Zuckerberg?

Uchaguzi 2020 - Mark Zuckerberg ndiye atakayemwapisha Tundu Lissu?

Cha ajabu miaka 4 baadae wafuasi wa JPM ndio wanaamini online polls zinaakisi ukweli? Huu unafiki wenu unawasaidia nini?

Cc Pascal Mayalla
 
Makusanyo ya JPM yalikua na faida gani? Maana miradi yote ilijengwa kwa mikopo, hakutoa ajira, hakupandisha mishahara, sasa hizo pesa alizobania matumizi alizitumia wapi? Mbona Mama anaspend kuliko JPM na bado anaajiri, kuongeza mishahara, miradi analipa madeni n.k!! Amewezaje?

Kuhusu ufisadi tokea enzi za JPM CCM walikua wanaiba na hakuna hatua zilichukuliwa. Mfano ACACIA walitupa loss ya Trillion 400+ ila bado walipewa hisa 84%, waliruhusiwa kusafirisha makinikia na kesi zote tulizowafungulia tulifuta.

Mwanyika yule VP wa ACACIA alikua na kesi ya uhujumu uchumi ya zaidi ya 2B ila sio tu aliachiwa ila alipewa ubunge na JPM!! same to Nchambi alikamatwa na nyara za serikali na bunduki za ujangili ila aliachiwa na aliendelea na ubunge.

Bashiru naye alikagua mali za CCM akagundua ufisadi wa kutisha ila JPM na ubabe wote ule hakuwahi mchukulia hatua hata mmoja!! Zaidi alibembeleza walioba warudishe kwa hiari.

Ripoti ya CAG tokea 2015/16 zimekua zikitaja mafisadi kila mwaka cha ajabu CAG alipotaka kukagua manunuzi ya ndege na SGR akaondolewa kazini!! Sasa kama JPM alikua na nia ya kuzuia wizi why azuie CAG asikague TGFA?

Haya kuelekea uchaguzi wa 2020, JPM alituma TAKUKURU kuchunguza watoa rushwa kura za maoni. Cha ajabu ile ripoti sio tu ilifanywa siri ila waliotoa rushwa hawakupelekwa mahakamani zaidi ya kukatwa tu kinyume na sheria iliyoanzisha TAKUKURU. Yaani mtu anatoa rushwa adhabu yake ni kunyima tiketi ya kugombea na sio jela tena?

So kama issue ni kuchukua hatua JPM alikua anatumia makamera tu kufoka ila kiuhalisia majizi kibao aliyachekea. Hata wale waliokamatwa kwa kesi za uhujumu uchumi kuanzia Seth, Ruge sijui hakuna aliyekutwa na hatia mpaka leo. So huwa nashangaa wafuasi wake mnavyompamba kuwa alikua na maamuzi magumu sijui anachukua hatua.
Maneno mengi bila ushahidi tutaaminije?
 
Nipo private sector, na sababu ya sera nzuri za Mama, taasisi nayofanyia kazi ilipata investmenf funding nzito kutoka abroad na ndio inaniweka mjini. Unadhani kipindi cha JPM hao mabeberu wangeweza kuja? Maana aliona kila mwekezaji kama jizi tu.
Hahaha umemchukia chuma JPM mpaka umeishia kuwa chawa wa Samia asiye na maslahi hahaha... safari yako bado ndefu tunza energy JPM ataendelea kuishi sana
 
Na
Mara ngapi? Nakumbuka 2020 polls nyingi za online zilionyesha Lissu was toe to toe na JPM mfano hii.
View attachment 2977573
Cha ajabu kila online poll alikua akishinda Lissu, nakumbuka humu JF ukaanzishwa uzi huu kukejeli kwamba Lissu ataapishwa urais na Mark Zuckerberg?

Uchaguzi 2020 - Mark Zuckerberg ndiye atakayemwapisha Tundu Lissu?

Cha ajabu miaka 4 baadae wafuasi wa JPM ndio wanaamini online polls zinaakisi ukweli? Huu unafiki wenu unawasaidia nini?

Cc Pascal Mayalla
Shukuru sana kwa ushahidi hata mimi kabla ya JPM kuwa rais nilikuwa mfuasi sana wa Chadema na Lissu ila baada ya jamaa kuapishwa na kuanza kupiga kazi nilimkubali sana angalau alionyesha njia.

Pamoja na madhaifu kadha wa kadha aliyokuwa nayo ila alipiga sana kazi kiasi cha watu kuwaaminisha kila kitu kinawezekana. Na hiyo ilimjengea imani kubwa sana kwa wananchi.

Kwa mfano sahivi wewe unamsifia sana Samia kwa anayoyafanya lakini tukiyaangalia ni kama hayana maslahi mapana kwa watanzania. Mfano kumilikisha bandari zetu kwa wageni, kuhamisha wamasai kwenye makazi yao ya miaka na miaka tozo zisizokuwa na kichwa wala miguu zinampunguzia sana heshima. Tunapoiangalia Tanzania tusiangalie tu maslahi tunayopata ni vema tuangalie na maslahi ya watu wengine.
 
Makusanyo ya JPM yalikua na faida gani? Maana miradi yote ilijengwa kwa mikopo, hakutoa ajira, hakupandisha mishahara, sasa hizo pesa alizobania matumizi alizitumia wapi? Mbona Mama anaspend kuliko JPM na bado anaajiri, kuongeza mishahara, miradi analipa madeni n.k!! Amewezaje?

Kuhusu ufisadi tokea enzi za JPM CCM walikua wanaiba na hakuna hatua zilichukuliwa. Mfano ACACIA walitupa loss ya Trillion 400+ ila bado walipewa hisa 84%, waliruhusiwa kusafirisha makinikia na kesi zote tulizowafungulia tulifuta.

Mwanyika yule VP wa ACACIA alikua na kesi ya uhujumu uchumi ya zaidi ya 2B ila sio tu aliachiwa ila alipewa ubunge na JPM!! same to Nchambi alikamatwa na nyara za serikali na bunduki za ujangili ila aliachiwa na aliendelea na ubunge.

Bashiru naye alikagua mali za CCM akagundua ufisadi wa kutisha ila JPM na ubabe wote ule hakuwahi mchukulia hatua hata mmoja!! Zaidi alibembeleza walioba warudishe kwa hiari.

Ripoti ya CAG tokea 2015/16 zimekua zikitaja mafisadi kila mwaka cha ajabu CAG alipotaka kukagua manunuzi ya ndege na SGR akaondolewa kazini!! Sasa kama JPM alikua na nia ya kuzuia wizi why azuie CAG asikague TGFA?

Haya kuelekea uchaguzi wa 2020, JPM alituma TAKUKURU kuchunguza watoa rushwa kura za maoni. Cha ajabu ile ripoti sio tu ilifanywa siri ila waliotoa rushwa hawakupelekwa mahakamani zaidi ya kukatwa tu kinyume na sheria iliyoanzisha TAKUKURU. Yaani mtu anatoa rushwa adhabu yake ni kunyima tiketi ya kugombea na sio jela tena?

So kama issue ni kuchukua hatua JPM alikua anatumia makamera tu kufoka ila kiuhalisia majizi kibao aliyachekea. Hata wale waliokamatwa kwa kesi za uhujumu uchumi kuanzia Seth, Ruge sijui hakuna aliyekutwa na hatia mpaka leo. So huwa nashangaa wafuasi wake mnavyompamba kuwa alikua na maamuzi magumu sijui anachukua hatua.
Hoja zako nyepesi sana...

Una urge vitu ambavyo viko wazi na unajua majibu yake just kujustify chuki yako tu...

Watu kama wewe ndiyo mumeiharibu hii nchi maana hamjui mnachokitaka...

Kwa akili yako 5-5 ina maana kubwa kuliko 2-1.
 
Makusanyo ya JPM yalikua na faida gani? Maana miradi yote ilijengwa kwa mikopo, hakutoa ajira, hakupandisha mishahara, sasa hizo pesa alizobania matumizi alizitumia wapi? Mbona Mama anaspend kuliko JPM na bado anaajiri, kuongeza mishahara, miradi analipa madeni n.k!! Amewezaje?
Hapo kwenye mikopo..

Ni kweli alikopa na mikopo ilikua ya biashara kwasababu hakua na uhusiano mzuri na wakopaji na sababu zipo...

Ajira alitoa, ila alitoa kwenye upungufu mkubwa tu...

Mfano ualimu, alitoa sayansi na
Hesabu zaidi

Kupandisha mishahara ni kweli hakupandisha, Samia ameongeza ngapi?
 
Mfano ACACIA walitupa loss ya Trillion 400+ ila bado walipewa hisa 84%, waliruhusiwa kusafirisha makinikia na kesi zote tulizowafungulia tulifuta.
Hayo makadirio ulielewa maana yake?

Ulitaka umpe Barick asilimia ngapi kwa mkataba ule?

Bado sijapata hoja yako kabisa, naona chuki tu.
 
Kupandisha mishahara ni kweli hakupandisha, Samia ameongeza ngapi?
Kupanda madaraja ya mshahara ni statutory ila kwa JPM haikuwezekana ila mama kaingia na watu walipandishwa madaraja ya mishahara.

Then kuna increment ya mshahara hata kama ni 2-5 percent ila aliongeza mwaka jana even though watu walikejeli ila aliongeza.

Sasa kama JPM hakulipa mishahara na miradi alijenga kwa mikopo mama anawezaje kufanya miradi, huku anaajiri huku anaongeza mishahara na uchumi hauporomoki?
 
Hayo makadirio ulielewa maana yake?
Ndio ni kodi na fine ya kodi iliyokwepwa kwa miaka 20 kwa makontena yote yaliyokuwa yakisafirishwa na makinikia. So estimations ni kwamba ni hasara ya Trillion 400 kwa TRA, hatukulipwa ila bado tukawapa hao hao Acacia 84% shares ya kampuni mpya!!.
Ulitaka umpe Barick asilimia ngapi kwa mkataba ule?
Si walitudanganya kwamba ni 50:50 economic benefits eti tungegawana faida pasu kwa pasu. Cha ajabu kwenye mkataba ni 84% kwa mabeberu!! Alafu akapewa masifa weee kuwa kakomesha wazungu??
Bado sijapata hoja yako kabisa, naona chuki tu
Hoja ni kwamba JPM hakuwahi kufanikiwa vita dhidi ya ufisadi ndio maana nmetoa mifano ya grand corruptions ambazo alifeli kuzishughulikia.
 
Back
Top Bottom