Hospital vipimo havijabaini tatizo lolote,Kaka, tujuze hali ya mtoto tafadhali.
Ulikwenda hospitali?
Vipimo vimeonesha nini?
Ana nafuu yeyote mpaka sasa?
Mwenyezi Mungu atamponya mkuu.. Mpambanie binti kwa kila namnaHospital vipimo havijabaini tatizo lolote,
wazee walinitaka nimpeleke kjijini,
Nilifanya hivyo nahadi sasa yupo huko.
Jambo lakushukuru kwasasa unafuu unaonekana,miguu anaweza kuisogeza bila kuisapot kwamikono.amekuwa kama mtoto anaejifunza kusimama nakutembea ila inatia moyo.
YOU ARE VERY FOOLISH INDEED.Pole sana, tunamuombea afya
Mpeleke Hospitali kama Dar ni MOI.
Usisikilize upuuzi wa kwenda kwa mganga wala maombi,
sijawahi maisha mwangu kujua, kuona wala kushuduhudia mtu yeyeto aliye na critical illness kutibiwa na kupona na mganga wala makelele ya maombi.
HOSPITALI KUBWA IPI?Achana na habari za maombi na waganga. Nenda hospital kubwa
MRI hajawahi pimaHOSPITALI KUBWA IPI?
UMEAMBIWA VIPIMO VYA HOSPITALI HAVIONESHI TATIZO LOLOTE.
NYIE NDIO WACHAWI WENYEWE MSIOTAKA MTOTO APONE.
WEWE NI MCHAWI MBAYA SANA.Maombi maombi, acha upotoshaji ndugu. Nani alipona ugonjwa kwa kuombewa , toka lini kuongea kukatibu mwili wa mwanadamu
HUNA LOLOTE WEWE.
MISULI MY FOOT.Mpeleke mhimbili haraka kwa madaktari wa neurosurgeon wakamwangalie, mtoto hajavunjika ila inaelekea kuna misuli imebanwa sehem
Mungu mkubwa...usidharau tiba zetu za Kiafrika.....duh dunia ina mitihani hiii!Hospital vipimo havijabaini tatizo lolote,
wazee walinitaka nimpeleke kjijini,
Nilifanya hivyo nahadi sasa yupo huko.
Jambo lakushukuru kwasasa unafuu unaonekana,miguu anaweza kuisogeza bila kuisapot kwamikono.amekuwa kama mtoto anaejifunza kusimama nakutembea ila inatia moyo.
Pole sana ndugu yangu. Mungu ampe nafuu mtoto wetu, atapona, poleni nanyi kwa mtihani huo, Mungu awape subira katika kumuuguza binti.Hospital vipimo havijabaini tatizo lolote,
wazee walinitaka nimpeleke kjijini,
Nilifanya hivyo nahadi sasa yupo huko.
Jambo lakushukuru kwasasa unafuu unaonekana,miguu anaweza kuisogeza bila kuisapot kwamikono.amekuwa kama mtoto anaejifunza kusimama nakutembea ila inatia moyo.
Mkuu mtoto anaendeleaje?Hospital vipimo havijabaini tatizo lolote,
wazee walinitaka nimpeleke kjijini,
Nilifanya hivyo nahadi sasa yupo huko.
Jambo lakushukuru kwasasa unafuu unaonekana,miguu anaweza kuisogeza bila kuisapot kwamikono.amekuwa kama mtoto anaejifunza kusimama nakutembea ila inatia moyo.
Mungu ni mwema sana Jambo lakusukuru mtoto amepona kabisa anatembea nakukimbia vzr bila shida yoyote na amerudi toka kijijini mwezi huu mwanzoni nasasa anaenda shule kama kawaida.Mkuu mtoto anaendeleaje?
Nini kimetokea mkuu nakumbuka ulitaka kuja had muhimbiliMungu ni mwema sana Jambo lakusukuru mtoto amepona kabisa anatembea nakukimbia vzr bila shida yoyote na amerudi toka kijijini mwezi huu mwanzoni nasasa anaenda shule kama kawaida.
NAWASHUKURU SANA WANAJF KWA MAWAZO YENU.
kwakweli ulikuwa ni mtiihani mkubwa sana kuupitia kabla.
Mungu ni mwema[emoji120], Mungu azidi kumkuza vema.Mungu ni mwema sana Jambo lakusukuru mtoto amepona kabisa anatembea nakukimbia vzr bila shida yoyote na amerudi toka kijijini mwezi huu mwanzoni nasasa anaenda shule kama kawaida.
NAWASHUKURU SANA WANAJF KWA MAWAZO YENU.
kwakweli ulikuwa ni mtiihani mkubwa sana kuupitia kabla.
Tiba zetu za mababu au sio. Ashukuriwe Mungu kwa kumponyaMuhimbili sikuja tena mkuu nilimpeleka kijijini na ndiko alikopona