Mwanangu anashindwa kutumia common sense?? Hii ni shida gani?

pole sana !!
Atleast we unajua chanzo mi huyu kanyonyeshwa vizuri tu sema labda n matatzo ya upande wa mama ake labda
Mi kwa uzoefu tu huwa naona watoto genes nyingi huchukua kwa mama zao ila hasara huwa kubwa kama atachukua akili za mama yake halafu akawa kilaza. Hasa first bornes wa kiume ndio huchukua sana brain za mama zao. First borne wa kike wanachukua brain ya baba zao.
 
Sidhani kama kuna jambo la kuongezea umemaliza kila kitu mkuu [emoji419][emoji375]
 
mr extrovert umefNyanaje hii conclusion?? ni evidence based au ni mawazo yako
 
kwaiyo bro saizi ww ni nani au unafanya nn!?

maana umenitisha na yale matokeo yako!!
nipe kaushuhuda atleast nilegeze kamba kwa kijana wangu
Mimi ni mtu wa Masoko by profession niko kwenye hio field. We need a little maths in Marketing.
 
Mama yake yupoje kichwani?
 
mr extrovert umefNyanaje hii conclusion?? ni evidence based au ni mawazo yako
Hio based na mazingira pia hata nikiangalia uzao wa ndugu walionizunguka unakuta hali iko hivyo zaidi.

First borne wa kiume anakuwa na traits za mama zaidi na wa kike anakuwa na traits za baba hadi brains. Sijui kwa wengine ila nikiangalia ukoo wetu uko hivi.
 
ukali ni pale napomfundisha simkaripii mambo mengine! ila kwene shule akileta uzembe namtandika
Bro inaonekana umenizidi umri mkubwa tu ila nikuchane ukweli HUONEKANI KUWA NA AKILI TIMAMU hasa za kimalezi na ujinga mwingi na udikteka wa kipumbavu usiojenga badilika wewe kwanza kabla humjambadilisha mwanao, unakaa na mto tangu akiwa na miaka 9 hadi Sasa mbinu zako za malezi ziko vilevile huna Chachi ya mtoto kujivunia baba mjinga kama wewe

Ukimaindi poa ila nishakuchana
 
Tatizo mmesahau mila na tamaduni zenu.

Huyo kijana pengine hana tatizo yeye kama yeye ila tatizo lipo kwenye ulimwengu wa roho. Unaweza kumpiga mtoto hadi ukamuumiza bure kumbe source ya mambo yote ni mizimu, uchawi na mambo kama hayo. Wengi wameathiriwa na hzi evil spirits na wazazi wa kisasa wanaishia tu kulia lia bila kuangali nje ya box.

Kama wewe ni mtu wa imani nenda kwa watumishi wa Mungu. Au kama huamini Mungu nenda kwa wataalamu. USIDHARAU.

UAMUZI NI WAKO.
 
Inawezekana kumtoa kwa Mama yake Mzazi akiwa darasa la tatu, kulimfanya asikukubali ambayo ungependa, jaribu kumbuka ulimchukuaje kwa shari au upendo?
Je kwa sasa unaishi nae na mama wa kambo?, Mama wa kambo humtendeaje nyuma ya pazia?
Je wewe humkemea kinafiki mbele Mama was kambo ili umfurahishe mkeo na watoto wako wengine?
Ukiona tatizo kwako pia jirekebishe mpende upya toka nae, mwamini, mpe majukumu mwacha ayatimize , mwache akosee mrekebishe kwa staha mpongeze, usimuogope mkeo, kuwa halisi wote ni watoto wako ikiwa una wengine wafanye wakubali ukweli huo na weka mzazi sawa kwa wote.
Narudia usimwogope mkeo au kutaka kumfurahisha kinafiki
 
Hili swali nilishawahi sikia Mzee mmoja skimuuliza mke wake.

Mzee ni lecturer na mkewe pia ana PHD ila matokeo ya watoto wao ni ya kawaida.
 
hapendi michezo anapenda kulala lala
hawezi cheza mbele yangu
Mi nimkali hasa linapokuja suala la shule
amelelewa na mama ake nimemchukua akiwa darasa la tatu
Inamaana amelelewa na mama mwingine?
Huyo ni kumuongezea confidence na decision making skills, huyo mtoto sio zamwamwa kama unavyosema switch haiconect hujamjulia tu Kuna eneo lake ambalo yupo vizuri, lastly it seems toka anajua ukaribu wako kwake ni mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…