Mwanangu anashindwa kutumia common sense?? Hii ni shida gani?

Punguza ukali,inawezekana dogo ni mwoga,kuna watoto ni waoga ila usijue ni waoga ,ukiuliza chochote anaweza akajibu kwa panic.
 
Shukuru sana, wa hivyo ndo hutoboa hapa bongo ila wale vipanga, smart, faster, akili sharp huwa wanakuwa target na wanabaniwa ngumu kutoboa ila slow ka huyo wanga hawahangaiki nae maana sio tishio kimafanikio mwishowe anatoboa kiulaini, hii ndo bongo
Kwa kweli hali ndivyo ilivyo Tanzania. Ndio maama nchi haiendelei
 
Aisee pole sana mkuu ila kuna watoto huwa ni slow leaners inabidi kwenda nae taratibu
 
Pole sana.

Bila shaka kwenye hii thread ulikuwa unachangamsha genge
 
Uwezekano wa tatizo kuwa amelipata tangu kipindi anazaliwa upo , usikute alipata birth asphyxia kipindi anazaliwa ikapelekea aka score low apgar.
Sidhani Maana Mpaka Miaka 17 angekuwa Tayari na Hx Ya Delayed Milestone ambayo mzazi angeitaja..

Kwa Umri wake Mara nyingi sana Anasumbuliwa probably na Upigaji wa Punyeto uliokithiri...Ndo unaathiri Sana Uwezo wa Kufikiri kwa Haraka na Kutumia Common sense..

Ajaribu Kumuweka Sehemu ambayo hawezi kufanya hivyo (Kupiga nyeto)..

Au ampeleke kwenye kazi ngumu ambazo ATACHOKA SANA na atasahau kufanya hivyo..

Au ampe ushauri mwingi sana..

Swali la Kumuuliza Ni Vipi kuhusu Ukuaji wa Nywele zake???

Madini ya Zinc Ni muhimu sana kwa Ubongo
 
Wewe upo smart.
Mtoto anarithi akili kutoka kwa mama.
 
Una maana gani unaposema wewe ni mzee wake?
 
Kaanza kukaa na huyo mtoto akiwa tayari ameshafika darasa la tatu .

Pia kulingana na maelezo yake ,kuna vitu ambayo ni kawaida kwa kijana wa miaka 17 kuwa anavijua au anaviweza sasa kitendo cha kuwa mzito kupitia kiasi kwa umri huo huenda pia alipata delayed milestone na aliscore low apgar.

Yote kwa yote akamuulize mzazi mwenzake kipindi cha ujauzito wake alipitia changamoto zipi mpaka anajifungua .
 
Zaidi ya asilimia 75 akili ya mtoto inatoka kwa mama ndio maana tunaoa wenye akili sio wenye wowowo ,ila ukipata ana vyote basi ni komasava
 
Mmh
 
Kama ameweza kupata division 3 sio mmbaya sana wapo watoto ambao ni slow leaners. Zipo shule unaweza kumpeleka kwa level aliofika sio lazima aendele na secondary tena anaweza kwenda chuo au hata vyuo vya ufundi atafute skill ya kufanya kama anapenda. Watoto hawafanani wengine sio smart darasani lakini wapo smart street.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…