Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Maulid maana yake nini?Maulid sio yako, iweje waivalia kanzu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maulid maana yake nini?Maulid sio yako, iweje waivalia kanzu?
Yeah ni kweli Bila Hx ya Milestone tutakuwa tunafanya kama waganga wa Kienyeji ..Kaanza kukaa na huyo mtoto akiwa tayari ameshafika darasa la tatu .
Pia kulingana na maelezo yake ,kuna vitu ambayo ni kawaida kwa kijana wa miaka 17 kuwa anavijua au anaviweza sasa kitendo cha kuwa mzito kupitia kiasi kwa umri huo huenda pia alipata delayed milestone na aliscore low apgar.
Yote kwa yote akamuulize mzazi mwenzake kipindi cha ujauzito wake alipitia changamoto zipi mpaka anajifungua .
Mbali na yeye unaishi na akina nani hapo nyumbani?hapendi michezo anapenda kulala lala
hawezi cheza mbele yangu
Mi nimkali hasa linapokuja suala la shule
amelelewa na mama ake nimemchukua akiwa darasa la tatu
Nikadhani mme wake.baba ake
Hujui kama siku hizi kuna Big results now (B.R.N) ndio maana kukuta darasa zima wana single digits sio jambo la kushangaza?Sio kama wewe ndio unajichanganya? Anawezaje kujibu vyema maswali ya shule apate div.3 halafu ajibu mambo tofauti kabisa na yale unayomuuliza?
Au amejenga hofu kwako kwa ukali na ukatili?
Hahahuzi ufungwe mtoa mada akamatwe ahojiwe hayo maswali akishindwa kijibu bas auawe
Kuna sehem hata mwalim mwenyewe hawezi kutumia common senseHujui kama siku hizi kuna Big results now (B.R.N) ndio maana kukuta darasa zima wana single digits sio jambo la kushangaza?
Kweli kabisa mkuu, kinachofanyoka hapa ni kubashiri ,na shida ya mleta mada anajibu O.P na anachoulizwa, hivyo inakuwa ni vigumu kujua underlying causes za tatizo la kijana wakeYeah ni kweli Bila Hx ya Milestone tutakuwa tunafanya kama waganga wa Kienyeji ..
mwalimu wa nini?Kuna sehem hata mwalim mwenyewe hawezi kutumia common sense
Duh anaweza akakuelewesha mwingine. Ngoja wajemwalimu wa nini?
Hahaha Extrovert oya kuna Pacha wako huko.... Dingi miyeyusho kweliSasa mkuu unapata F KWELI!!
mimi hapo ndo nashindwa kuelewa unapataje F ?? kwamba we mwanzo mwisho miezi sita hukuwai elewa chocolate darasani!
hili ndo swala tunalogombana na kijana wangu.Mi mtu anaeshindwa shule ni ngumu sana kumuelewa hasa F na D
yawezekana kijana wangu kafata akili zako maana nayy hesabu ndo IMELALA YOOO
😂😂😂😂Kazi ni mvuvu sasa sijuagi ana talent gan??
uvivu inaweza kua talent
Inaonekana wewe unaamini kwenye nguvu- Mtoto wako ana-uwezo wa kawaida kubaliana na huo ukwelimapenzi no hana hizo mambo hata kubalehe vizuri bado!!
zamani alikua muongo muongo vikatembea viboko had akaacha ila hilo la shule shida ipo tangu zamani !!
Ukikagua daftari lake lazima upate hasira
Mfano; kwene daftar amepata ila swali lile lile umpe afanye hawezi! hapo ndipo fimbo zilipoanza kuhusika