Mwanangu anashindwa kutumia common sense?? Hii ni shida gani?

Yeah ni kweli Bila Hx ya Milestone tutakuwa tunafanya kama waganga wa Kienyeji ..
 
Sio kama wewe ndio unajichanganya? Anawezaje kujibu vyema maswali ya shule apate div.3 halafu ajibu mambo tofauti kabisa na yale unayomuuliza?

Au amejenga hofu kwako kwa ukali na ukatili?
Hujui kama siku hizi kuna Big results now (B.R.N) ndio maana kukuta darasa zima wana single digits sio jambo la kushangaza?
 
Nahisi kuna muda wazazi mnasumbuliwa na Expectation
Cha kukumbuka ni kumlea mtoto kwenye njia impasayo. MENGINE ni matokeo tu ya maisha... wazazi ni njia ya kumleta duniani tu, mtoto ni mtu huru ila ukimlea katika njia impasayo ndio utaanza kuona vile unavyotaka kuona vyema ama vibaya!
Bila kusahau kila bonadamu huja na asili yake binafsi kiakili
 
Yeah ni kweli Bila Hx ya Milestone tutakuwa tunafanya kama waganga wa Kienyeji ..
Kweli kabisa mkuu, kinachofanyoka hapa ni kubashiri ,na shida ya mleta mada anajibu O.P na anachoulizwa, hivyo inakuwa ni vigumu kujua underlying causes za tatizo la kijana wake

Huenda yeye pia alikuwa haudumii hiyo mimba hivyo ikapelekea mtoto kukosa mahitaji muhimu haswa ya lishe sahihi kipindi cha ukuaji wake.
 
Wakati mwingine wazazi wanawaharibu watoto wao bila kujua, yaani mtoto usikosee ukifanya hivi kidogo mtoto anaangushiwa lawama ambalo haliishi, hii hummaliza mtoto kwanza hajiamini Wala hawezi kujaribu Wala kushika chochote, ukimuuliza kitu anajifikiria sijui baba/mama nimjibu vipi yaani kitu kidogo kinamtia stress vibaya mno, baba akirudi kazini mtoto yupo chumbani maana hajihisi comfortable kukaa na Mzee wake, akiendelea kukua kwenye Hali hii mwisho atakuombea mabaya na hata kuchukua uelekeo usiofaa....hivyo, kabla hujafika mbali usijihisi wewe ni mkamilifu sana, jitathimini kwanza wewe.
 
Hahaha Extrovert oya kuna Pacha wako huko.... Dingi miyeyusho kweli
 
Inaonekana wewe unaamini kwenye nguvu- Mtoto wako ana-uwezo wa kawaida kubaliana na huo ukweli
Na mbaya zaidi hana character za kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…