Mwanangu anashindwa kutumia common sense?? Hii ni shida gani?

Mkuu itabidi ukipata time uingie deep kidogo
Utupe hint kuhusu hizo behavior ambazo zinaweza kudevelop ukubwani
unaweza kuta na sisi ni wahanga



Google mild autism au moderate autism, wanaeleza tabia zake. Autism Ina level tatu mild, moderate na severe.

Mild ni ngumu sana kuijua utotoni wakati mwingine, moderate pia kwa watoto wengine inaweza kuwa ngumu kuijua (but moderate is usually detected in many cases) inahitaji behaviour modification tu.

Watu wenye mild na moderate wanaweza ishi maisha ya kawaida tu wasipobainika utotoni, sema wanakuwa na tabia fulani za ajabu.

Ndio kama huyo mtoto easily distracted ‘seems distance’ anapopewa maelezo. Wengine unakuta hajui mipaka ya utani, etc.
 
Kuna mambo mawili hapo
1. Ana shida ya usikivu
2. Processor haiko sawa (afya ya akili)

Kati ya hayo mawili kimoja wapo lazima ni jibu

Huyu dogo atafutiwe mtaalamu wa lishe apate tiba kwa mfumo wa virutubisho
 
Mimi nilikuwa very defensive hata kipindi nimeanza mahusiano nilimpa shida sana mtoto wa watu. Sikuhizi ile hali imeisha nilikuwa sikubaligi kushindwa na very fierce. Yani ukitafta namna ya kuni attack ujue umeisha sikuwa nataka kuwa abused maana ile hali ya kutojiamini ilikuwa imentawala kwahio kabla hujanifikia kuni torture unakula chuma. Sikupi hata sekunde
 
Amesema shule ya msingi boarding au day? Na o level vipi boarding au day?

Watoto wa dada yangu wamesoma boarding kuanzia shule ya msingi, mmoja ana division 1 na mwingine ana 2,

Kwa hiyo darasani wako vizuri ila akili za mtaani ndo changamoto, kuna malezi wanakosa.

Sent from my SM-M135FU using JamiiForums mobile app
 
lakin kwene hesabu ndo ulikua unakubali kupata F !! ni ajabu. kwakweli!

kijana wangu huwezi mshinda kucheza magame ila vingine uje shuleni hata walichofundishwa leo hakumbuki
 
shule ya msingi nilimpeleka boarding O level sand kayumba day
 
Thanks mkuu
 
Anachokosa mwanao ni confidence, yaani haujamjengea uwezo wa kujiamini unavyomlinganisha na enzi zako ukiwa kijana humtendei haki kwani mazingira ni tofauti Sana.

Kabla ya "conclusion " uliyofikia, umejiridhisha pasipo Shaka yoyote kuwa mwanao ni kilaza?
 
Hadi nikaleta shida ipo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…