Mwanangu Makonda, hakika, hautapata unachokitaka

Mama hajatulia na hana msimamo ktk siasa zake. Alivyoingia na 4R zake lakini mwisho wa siku uliona kilichotokea, kaja tena na gia ya wanawake dhidi ya wanaume, naona nayo ilimwangusha. Mwanzoni teuzi zake zilionyesha waziwazi chuki yake dhidi ya mtangulizi wake, sasa anarudi kulekule na taratiibuuu inaonyesha wazi team Msoga imenuna!! Mbaya zaidi ni siasa zilizochomoza kipindi cha saga la DPW na bandari zetu. Udini na Uzanzibar ni vitu vilivyo onekana wazi na akavinyamazia akidhani kwake ni mtaji.

Anajaribu kurudisha imani kanda ya ziwa kwa kutumia sukuma gang, lakini kuwatumia watu kama akina Makonda walio na tuhuma ambazo hazijapatiwa majibu kunawexa kumponza badala ya kumusaidia. Anadanganyika kwa adaa na usanii wa Makonda wa kusomba watu kwa malori kujaza mikutano.
 
CCM will crumble under its own weight . Kuingia kwa makonda kua mwenezi ndio mwanzo wa CCM kukatika vipande vipande. Makonda hataki huo ukatimu mkuu, Makonda anataka umakamu.
 
Kwa vilaza kama wewe ataponzwa kweli ila kwa wenye akili Makonda ni kijana safi na mchapakazi
 
Asante kwa kuja
 
Hivi wewe kwa akili yako unaamini Makonda watu wanamchukia kiazi hicho? Kanda ya ziwa Makonda makao makuu ya Sakuma gang Makonda ndo anakubalika!
 
Ulikuwa ukimuunga mkono Kutokea CDM?
Mimi siyo Chadema lakini baada ya CCM kuweka yule muovu niliichukia sana CCM lakini baada ya Mama kuja nilianza kumuunga mkono kabla hajamrudisha muovu mwingine bashite. Ila kwa sasa siwezi kumuunga tena mkono wala mguu maana naona kama zama za Jiwe ni kama zinataka kurudi tena
 
Unajua sielewi kwanini jina la Makonda linatajwa KM. Zinatoka wapi hizi habari?

Kwamba haridhiki na uenezi au ni watu tu wanazusha kuleta taharuki za kijinga
Huyo Bashite kichwani mwake ajua kuwa atakuja kuw rais baadae, hivyo kila nafasi aipatayo lazima aitake ya juu. Hata akipewa ukatibu atatataka umakamu mwenyekiti. Ndio hulka yake hiyo.. Mfano alipewa uDc akafaiti, akapata URc. Hakuridhika akataka ubunge ili aende kuwa waziri mkuu. Na nafasi azitakazo atatumia kakikundi chake cha mafia kukikoroga ili aliekikalia aonekane hafai.
Ni mtu hatari kuliko Magu kupewa nafasi za. juu
.
 
MAKONDA a.k.a last born kama ameweza kumpindua Chongolo, mzee wa "kaunda suti" basi lolote litegemewe ndani ya chama: Kumbe ndiyo sababu alianza ziara na misafara mikubwa kuliko hata ya Naibu Waziri mkuu.
Sasa kampindua, anakaa kujipanga na kuangalia nani wa kumwondosha taratibu mpaka mwakani mwezi 4 tutakuwa na story tofauti sana hapa jamvini.
Team Sukuma Gang wanazidi kujipanga.
 
Mkuu kongole wewe ni "Mswahili" una ubobevu kwenye lugha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…