Mwanangu Makonda, hakika, hautapata unachokitaka

Mwanangu Makonda, hakika, hautapata unachokitaka

Mimi naona Makonda anafaa tu. Tatizo makundi haya ndani ya chama. Inaonekana kama Magufuli ameanza kukumbukwa. Lile kundi lingine la "watu wema hawafi" sijui kama litakubali... "Ugomvi wetu furaha yao"
Kwani na wewe ni kati ya watu wanaofaa kutiliwa manani? Maana sioni tofauti yako na Bashite
 
Nitahakikisha hilo. Nami nipo hapa Dar es Salaam kuhudhuria vikao vya chama changu CCM kama mmoja wa mwalikwa. Uridhike na ulichopewa chamani.

Ulipoteuliwa tu kuwa Mwenezi wa CCM, hima ukaanza tamaa ya Ukatibu Mkuu. Ukaratibu bila utaratibu wala kutubu mipango ya kuifanya nafasi ya Katibu Mkuu iwe wazi.

Kisa nakijua. Ni Chongolo kukukwepa katika ziara zako mikoani. Ulitamani, ukasema na kuomba kuwa unataka ijirudie mikutano kama ile ya Kinana na Nape. Ukajiapiza kuharibu bila kutibu.

Umekuwa ukiwaambia wana-Sekretarieti kuwa muda si mrefu utawaongoza kwa ujumla wao (yaani utakuwa Katibu Mkuu). Hautaweza. Niko hapa Dar kuzuia hilo kwakuwa nilishajua na kuipata barua ya Chongolo ya kujiuzulu.

Katibu Mkuu atapendekezwa na Mama Samia na atapitishwa na chama, ila huwezi kuwa. Mama Samia, Mwenyekiti wetu wa CCM Taifa, hawezi kuichora picha ya kuogofya kirahisi kwa kukupendekeza. Ukae kwa kutulia.

Gekul, Chongolo mambo ni moto CCM!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Huyu ndio VUTA-NKUVUTE ninayemjuwa Mimi, ni kweli njama za maharamia wa Ccm zimefeli.
 
Wewe Nchimbi,kwani wewe Mungu?Huwezi zuia ridhiki ya mtu bwana.Na ulivyo mchawi basi utatafuta hata sumu umuwekee ili afe .Kama ulivyofanya kwa Ipi.
 
Angesema ....mmoja wa waalikwa.... ningejua ni yeye, lakini kusema......mmoja wa mwalikwa..... hicho ni kiswahili cha siku hizi cha vijana wa mitaani ambapo utasikia mara nyingi wakisema.....moja ya kitu ninachokipenda...... badala ya kusema .....moja ya vitu ninavyovipenda......
Umoja wa vitu ni kitu

Au na wewe una PhD kama ya Tale Tale
 
Ndio hapo sasa. Kwa Sasa ccm imefika mahali atakacho mwenyekiti kwakuwa ana kofia ya urais lazima kitimie. Kura ni kutimiza taratibu lakini hazina madhara yoyote. Magufuli alipanda mbegu ya ushindi wa 100% bila hata kura Moja kukataa au kuharibika.
CCm wanasera nzuri lakini wamejaa tamaa na ufisadi ndio maana hawakumpenda Magufuli.

Wengi walimchukia kwasababu ya kubana mianya ya rushwa wizi na utovu wa nizamu ndio maana wengi katika chama chao hawakuwa na amani kwasababu mfumo wa upigaji ulisambaa mpaka kwa balozi wanyumbaki.

Msemakweli ni mpezi wa Mungu.

Wewe pia ni mmoja kati ya wanao mchukia Magu kwa sababu zisizoeleweka, wote nawaweka kwenye kundi la wachumiatumbo.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Wewe Nchimbi,kwani wewe Mungu?Huwezi zuia ridhiki ya mtu bwana.Na ulivyo mchawi basi utatafuta hata sumu umuwekee ili afe .Kama ulivyofanya kwa Ipi.
Mbona ndg zangu Wasukuma mmekuwa wa ajabu mnoo?

Ukabila umewapofusha macho hadi uovu wa DAB hamuuoni tena?
Mbona kuna watu wema sana usukumani kwanini huyu tu?
 
Ukiwaona CCM kwenye hicho kikao unaweza kudhani ni chama safi kabisa na wana uhalali kutawala

Ila huwezi kuamini ndio majizi ya kura hayo hayo kwenye kila uchaguzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jitahd kuwe na accountability itawasaidia lasivyo mtamalzan wenyew kwa wenyew
 
No one is perfect wewe,yaliyopita yamepita. Unajua Mbowe alimfanya nini Chacha Wangwe?
Hatupaswi kuhalalisha uhalifu na uovu hata akifanya rais au askofu.

Kutoka ndani ya moyo nawapenda sana wasukuma but these days mnanivunja moyo sana kutetea waovu
 
Back
Top Bottom