Mwanangu Makonda, hakika, hautapata unachokitaka

Hivi kwa nini mnamuogopa sana Makonda kiasi hiki? Hivi Makonda ana nini cha kuwatisha kiasi hiki?
 
Jamaa akipewa hiko cheo basi ntaamini kwa namna moja bibi kaamua kugawana chaga maana huu muungano huwezi uendea direct watakuzima ..ila unatumia indirect way ili bara wachukue chaga zao na visiwani like wise.. ni mchakato ila utafanyika bila watu kujua mpk kishindo kikisikika.
 
km ni kweli ndio mwanzo wa kuanza kumdharau huyu rais Samia, sintamfuatilia tena, atakuwa ameiuza nchi yetu kwa wahuni. Nilishasemaga Makonda ana akili ndogo sana, km kweli tunaongozwa na akili km za mtu km Makonda bora tuhame nchi, maana imekuwa nchi ya mazezeta. Hivi Samia amejikwaa wapi? Tayari ameshauza chama, juzi anaenda kumsalimia Mabeyo, kwani ndio mkuu wa majeshi mstaafu pekee? Je kina Mboma, Waitara na Mwamunyange siyo wakuu wa majeshi wastaafu? Ni mambo ya sukuma gang, ni ukabila wa wazi. Kwani Makonda kuwa mwenezi ana tofauti gani na wenzake waliokuwa na hiyo nafasi? Bwana mdogo amekuwa zaidi ya Katibu mkuu wa chama na mama anafurahia, mzanzibari kweli mdebwedo. Asubiri atakapotaka uenyekiti wa chama kwamba cheo cha urais kitenganishwe na uenyekiti wa chama ndio atajua yuko na joka
 
Huu Mnyukano Dah 😅😅
Mzee tupatupa ulipotelea wapi wanao tulipitia mengi sana kwenye chama....

Mpaka kina Gekul nadhani umesikia
 
Nchi kama imeweza kuongozwa na watu incompetent, waliojazana ndani ya chama kwa miaka nenda! Naamini hata apewe mtu kilaza namna gani, bado ataweza tu kuongoza vizuri.
Sawa ndio nauliza kutoka kwa hawa hawa watoa taarifa au kuna upinzani unaojipanga.?

Ni kweli watu wameichoka ccm ila nani sasa?

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 

Kuna jambo huwa linanichanganya kila siku: watu wengi wa vyama vya upinzani na hata baadhi wasio na vyama wanaichukia sana CCM! Wengine wanasema hata mikutano yao hawaiangalii hata kwenye Luninga! Cha ajabu kukiwa na tukio lolote huko CCM kama hili la Daniel Chongolo utakuta wapinzani ndio wanaongoza kwa ufuatiliaji. Hii maana yake nini? Wanafalsafa wanasema hivi: Ukiona anayekuchukia anakufuatilia sana mambo yako ujue ni kwa sababu wewe ni bora kuliko yeye! Na haswa sasa nimegundua kuwa CCM ni bora sana na maarufu sana kuliko vyama vyote vya upinzani ukiviunganisha pamoja!
 
Mbo mbo ngafu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…