TANZIA Mwanariadha Rebecca Cheptegei aliyechomwa moto na mpenzi wake kutoka Kenya afariki dunia

TANZIA Mwanariadha Rebecca Cheptegei aliyechomwa moto na mpenzi wake kutoka Kenya afariki dunia

Mwanariadha wa mbio za marathon, mzaliwa wa Kenya, Rebecca Cheptegei amethibitishwa kufariki dunia baada ya kuchomwa moto na mpenzi wake Dickson Marangach.

Imeripotiwa mpenzi wake alimmwagia petroli kisha kumuwasha moto kwa kutumia kiberiti.
 
Screenshot_20240904-130631.jpg
 
Kama sijaelewa, Bwana Dickson ndiye aliyegombana na mpenzi wake Rebeca kwa sababu ya mali, ikapelekea Rebeca kuchomwa moto, naye Dickson tena akaungua na moto kiaje au kivipi?
Haijaeleweka! Taarifa imekologwa.
 
Kwa sasa mwanaume anaonekana hana haki ya kulalamika, mfano hapa kwetu mamlaka nyingi zinaonesha wazi kumpendelea mwanamke kunapotokea changamoto kwenye mahusiano.

Bado naviona vifo vingi vya kutisha kwa wanawake, na vitakuwa vingi zaidi kama wataendelea kutegemea wanaume kama chanzo Cha mapato na wakijua wazi hawana mapenzi ya dhati kwa hao wanaume.

Ili kuondoa hizi changamoto Wanaume wabadilike wasiwekeze pesa kwa wanawake huku ni kujitafutia kesi ya mauaji, na wanawake wasitegemee pesa za wanaume wafanye kazi waendeshe maisha yao. Mkikutana atoe uume utoe uke hayo mengine Kila mmoja afanye kazi na ajitegemee.
 
Kama sijaelewa, Bwana Dickson ndiye aliyegombana na mpenzi wake Rebeca kwa sababu ya mali, ikapelekea Rebeca kuchomwa moto, naye Dickson tena akaungua na moto kiaje au kivipi?
Kama sijaelewa, Bwana Dickson ndiye aliyegombana na mpenzi wake Rebeca kwa sababu ya mali, ikapelekea Rebeca kuchomwa moto, naye Dickson tena akaungua na moto kiaje au kivipi?

Huyu dada alikuwa ametoka na watoto wake. Alivyorudi huyo kaka, akamsimamisha nje ya nyumba yao wakaanza kubishana. Akamwagia mafuta na kumwashia kiberiti. Nahisi wakati wa vurugu na yeye moto ukamshika akaungua pia.

That is according to maelezo ya polisi mkuu
 
Back
Top Bottom