Mrs Besyige
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 1,040
- 2,923
umeisahau petrol tabia yake? alimwaga petrol..Kama sijaelewa, Bwana Dickson ndiye aliyegombana na mpenzi wake Rebeca kwa sababu ya mali, ikapelekea Rebeca kuchomwa moto, naye Dickson tena akaungua na moto kiaje au kivipi?