TANZIA Mwanariadha Rebecca Cheptegei aliyechomwa moto na mpenzi wake kutoka Kenya afariki dunia

Kwenye hizi posts, wanaume huwaoni. Ingekua mwanamke ndo amemchoma moto mwanaume wangesimamisha mishipa hapa.

Saizi dunia inaharibiwa na hao hao wanaume. Baba mzazi anabaka mtoto wake alafu yanakaa kuteteana. What a gender
Punguza kisukari hicho kitakumaliza mapema kama unadili na mambo madogomadogo kama hayo
 
Kama sijaelewa, Bwana Dickson ndiye aliyegombana na mpenzi wake Rebeca kwa sababu ya mali, ikapelekea Rebeca kuchomwa moto, naye Dickson tena akaungua na moto kiaje au kivipi?
Petrol sio ya mchezo mchezo,huwa inaunguza hadi anaetaka kuitumia,siyo kama mafuta ya taa

Yaan ile unavyoanzisha moto inakufata huko huko
 
Siku zote kwenye Ndoa/mahusiano kunakuwa na amani endapo Mume ndio Mwenyela tu. Ikiwa Wote wanazo ni shida, ikiwa Mke anazo nyingi ni shida zaidi.
Hapa ndio changamoto imapoanza.
Mume unakuta anataka heshima yake kama kichwa cha familia lakini mwanamke hataki hilo anataka avimbe kichwa kwa sababu ana kazi yake na pesa anazo tena wakiwa hawa watu maarufu kama wasanii au wanamichezo dharau zake inakuwa mara mbili sasa hapo ndipo mume uvumilivu unamshinda na kusema liwalo na liwe
 
Yeah
 
Wivu wa mapenzi🥺🥺🥺😭
 
Wivu wa mapenzi🥺🥺🥺😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…