Mwanasheria Albert Msando amvaa Lulu kisa Mali za Majizzo

Unaweza kuona unatoa elimu, kumbe unaweka ufa katika familia mpya na kutengeneza lawsuit dhidi yako kwa kuvunja familia.
 
Sasa hata kama sio lulu huyo Majizo asingeoa??? Yani angeoa na mwanamke angekula helaa zake na mali alizozichumaa kwa jasho vizuri tuu... so msando kamuattack lulu sababu ni star.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Sio sababu ni star..sababu ni historian ya lulu na tabia zake za nyuma

Majizzo angemuoa mfano Jenifer kanumba au mdada yeyote asie na history mbaya asingemuattack

Ila lulu history yake,kukwapua waume za watu,kudanga,kufumaniwa kuchuna mabuzi
So msando anaweza akawa anamuona ka kaolewa kumchuna majizzo.

But Mara nyingine watu huwa wanakosea,wanajifunza na kubadilika.
Tusiwaattack kwa tabia zao za nyuma.
 
Kweli boss...!! Pale lakini amezingua sana as if Lulu yani hakuna alichofata zaidi ya mali pale[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kumbe unaamini kuwa maneno yanaumba ...Bhac hii inatosha kuonyesha unaamini uwepo wa Mungu ....Hapo mwanzo kulikuwako na neno Naye neno alitoka kwa Mungu Naye neno Ni Mungu ...Niishie hapa ...kuwa Umekubali kuwa Mungu yupo
 
We naye hujielewi , Majizo aliliona Hilo mapema ndo mana hakumuoa huyo kenge mapema ili amalize Kwanza mjengo wake , Msando ni wakili mbobezi we kima , alichokiongea ni kuweka attention Kwa Huyo Lulu kuwa kama amefata ndoa apambane apate vitu vya kwenye ndoa siyo abweteke akidhani vile ni vyake , kiufupi kama Lulu lengo lake ni kufata zile Mali ajiandae Kwa stress za Kylin na Mengi inatakiwa apambane now sasa kupata vya kwake ewe kilaza
 
Aisee. Umenifurahisha sana.

Kumbe tulio na ghorofa na BMW tumeyapatia maisha?

Wengine ndiyo kwanza tunaona tunaanza.
Wacha wee
Una ghaorofa na BMW

Nimetolea mfano tu

Ila kwa sie akina ashura wa buza hapo umeyapatia
 
The real him is not what he is showing

He is just 10% but anaonesha yeye ni 100%...

Full of lies
Kwahiyo anavoonekana kazini ama mahakamani ni kama anapretend kwa ajili ya kazi

Ila akiwa mafichoni anachoongea na anayofanya ndo halisia?
Ref kuchezeana papuchi ndani ya gari na mambo ya kijingjinga alofanya na gigy pale kwenye seat..yule ndo yeye halisi?
 
Mkuu kumbe unaamini kuwa maneno yanaumba ...Bhac hii inatosha kuonyesha unaamini uwepo wa Mungu ....Hapo mwanzo kulikuwako na neno Naye neno alitoka kwa Mungu Naye neno Ni Mungu ...Niishie hapa ...kuwa Umekubali kuwa Mungu yupo
Hahahaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…