Mwanasheria Albert Msando amvaa Lulu kisa Mali za Majizzo

Kuwapata Bongo movies huitaji muingiliano,bali unahitaji pesa basi,alafu hiyo bilion 5 mbona hela nyingi sana.

Alafu hawa wasanii mbona viwanja vyao vinajulikana,hivi viwanja vinavyo sumbua mjini ukienda utawakuta kibao.

Alafu hiyo dhana ya Majizo kampata Lulu kwa ajili ya mwingiliano ifute,Lulu alisoma Chuo cha Mwl Nyerere,sasa jiulize pamoja na kuwa na mwingiliano mkubwa na wanafunzi wenzake,mwisho wa siku Majizo ndiye aliye oa.
 
Nimekupenda buree[emoji1376][emoji1376]
 
Mwanaume gani,learned brother gani anakalia mipasho na wanawake?
 
Kwa kweli, wanawake tujiongeze tutafute vya kwetu. Mali ya mume ina masimango na maneno makali sana. Mwanamke ukiwa na cha kwako inakupunguzia haya ma stress mengine. Chako ni chako tu hata kama ni kidogo
Kweli umeliona hill aisee
Tutafute tu vyetu
 
Lulu kasoma magogoni
Na lulu alimpata majizo kwa njia ya kukuwadiwa na dadake munalove
Tena alimpokonya hamisa wakiwa wanaleta mtoto.
Ulitaka kuwapata wadada wa bongo movie unahitaji kuwadi.huyu ndo anamshawishi mwanamke mpaka anamkubali mwanaume.
 
Dada yangu upo deep,mpaka za chini ya kapeti unazo ....😀
 
Sasa kwa mfano imetokea, Wanandoa wamekaa kwenye ndoa kama miaka mitatu then wazazi wa mwanamke wakafariki wakamwachia nyumba ya urithi binti yao. Wakija kuachana napo mahakama ita rule out kuwa walichuma hizo mali kwenye ndoa?
 
Mali ya wazazi..haigawanywi

Kama nyumba angekuwa kaijenga mke itagawanywa
 
[emoji102][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…