joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Kuwapata Bongo movies huitaji muingiliano,bali unahitaji pesa basi,alafu hiyo bilion 5 mbona hela nyingi sana.WangeonanA wapi sasa kwamba lulu angeenda disco ambalo majizzo ni Dj na kuanza kuomba nipigie mziki flani halafu wakaanza kuzoeana wakabadilishana namba wakawa wapenzi???????Hapana
Narudia tena kwangu mimi na wewe ni kazi kudate wanawake wa hivyo sababu hatuchanganyiki nao na hili utembee nao lazima muwe na muingiliano sasa huo muingiliano ndo umesababisha majizo ampate lulu na mimi na wewe tushindwe angekuwa DJ kusingekuwa na Muingiliano....
Diamond alivyokuwa tandale akuweza ku date star yeyote ila kitendo tu cha kuwa mwanamziki na kuingiliana na mastar ndo akaanza kupata mademu mastar[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wataonana wapi??????Naweza kukupa billion 5 nikakwambia tafuta star utembee nae kama hujui wapi wanaenda kunywa beer na wapi wanapatikana huwezi kumpata hata mmoja.
Muingiliano ni muhimu sana ili upate muingiliano lazima kazi yako iendane nao mcheki vunja bei mda wowote anaweza kula star yule,wacheki wakina calissa sio kwamba wa hela sana ila mbona wema aliliwa???Mcheki kimarioo cha shishi kilw nikipiga picha kizuri sana sasa kimempiga shishi miaka nenda rudi mwishowe shishi kakitunuku sio kwamba kina hela sana hapana muingiliano...
Alafu hawa wasanii mbona viwanja vyao vinajulikana,hivi viwanja vinavyo sumbua mjini ukienda utawakuta kibao.
Alafu hiyo dhana ya Majizo kampata Lulu kwa ajili ya mwingiliano ifute,Lulu alisoma Chuo cha Mwl Nyerere,sasa jiulize pamoja na kuwa na mwingiliano mkubwa na wanafunzi wenzake,mwisho wa siku Majizo ndiye aliye oa.