Mwanasheria Albert Msando amvaa Lulu kisa Mali za Majizzo

Mwanasheria Albert Msando amvaa Lulu kisa Mali za Majizzo

Sawa ila ndo ukweli wenyewe.
Mtoto wa Lulu atasema"MAMA KATAFUTA BABA MWENYE HELA".
sijui mama yangu alifeli wapi.
ndoa ni kifungo kibaya Sana hasaa kwa matajiri
Sasa hata kama sio lulu huyo Majizo asingeoa??? Yani angeoa na mwanamke angekula helaa zake na mali alizozichumaa kwa jasho vizuri tuu... so msando kamuattack lulu sababu ni star.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Ni mjinga sababu hajui lulu ni brand kubwa hata wasipogawana yule mwanamke ana akili zake kichwani na maisha yake mazuri hata ukimpora kila kitu kwa brand yake bado ataishi tena vzr..

Msando anafikiria km kila mwanamke ni loser km mkewe,Hapana kuna wanawake hawaolewi kuwaza kuachana mgawane mali sababu wana maisha yao,hawajaolewa kisa mali na hawana rogo mbaya ya kimaskini[emoji1787][emoji1787]

Wengine wana future zao wameolewa mapenzi
🦂 🦂 🦂 🦂 🦂 🐍🐍🐍🐍🐍
 
Kweli kabisa mkuu
Lakini sio mabinti Wote wako evil kiasi hicho
Halafu huwa hawana elimu akiona mghorofa na BMW basi anapapatikia ndoa akijihakikishia Mali lazima aondoke na nusu kumbe sheria haiko hivo
Aisee. Umenifurahisha sana.

Kumbe tulio na ghorofa na BMW tumeyapatia maisha?

Wengine ndiyo kwanza tunaona tunaanza.
 
Ni kweli.uenda majizo kamchunguza vya kutosha.na kajiridhisha kuwa anafaa kuwa mke. Ngoja tuwaache..
Hayo ya kufaa kuwa mke ni ya ndani...!! Na wanawake hubadilika kama Wanaume ambavyo unaweza badilika na kuanza kumnyanyasa mtoto wa watu kisa mali. Yule majizo nasikia huwa Anakatwangaa kalulu balaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Kwa mtu yeyote aliesoma sheria lazima amuelewe msomi msando.kwa taarifa yako yupo sahihi.ikitokea wakaachana watagawana pasu kuanzia walipooana. Na sio mali alizozitafuta majizo kabla ya ndoa.
Si kila kitu kinahitaji ushauri wa kisheria.

Na mwanasheria kutoatoa ushauri wa kisheria mitandaoni, kwa watu ambao si wateja wake na hawajamuomba ushauri, ni kuidhalilisha taaluma ya sheria.

Msando anajua prenuptial agreement ya wanandoa inasemaje?
 
Kwa mtu yeyote aliesoma sheria lazima amuelewe msomi msando.kwa taarifa yako yupo sahihi.ikitokea wakaachana watagawana pasu kuanzia walipooana. Na sio mali alizozitafuta majizo kabla ya ndoa.
Sawa ni kweli
Lakini kulikua na hana gani ya kumwambia hivo lulu tena hadharani?
Ukute hata lulu mwenyewe anajua hill.

Hizi tabia za kumparamia mtu kwa style hazipendezi.
Inamfanya lulu aonekane kama whore flan ambaye terget yake ni Mali tu
 
Unaweza kuwa mwanasheria mshamba vilevile.

Yani, ukaijua sheria lakini ukakosa kile kitu Wafaransa wanakiita "savoir faire".

"Savoir faire" ni uwezo wa kujua sehemu gani useme jambo gani, nguo gani uvae wapi, kitu gani kukifanya kwa kadamnasi gani ni mwiko, sehemu gani hata kufanya ujinga ni sawa, na kadhalika.

Msando hana "savoir faire".
Maybe halijui hili licha ya usomi wake

Usingemlaumu mtu asie msomi wala hakwenda shule na hana profession yoyote
Ila sasa kwa huyu msomi..lawyer mbobezi..
Acha nikae kimya
 
Si kila kitu kinahitaji ushauri wa kisheria.

Na mwanasheria kutoatoa ushauri wa kisheria mitandaoni, kwa watu ambao si wateja wake na hawajamuomba ushauri, ni kuidhalilisha taaluma ya sheria.

Msando anajua prenuptial agreement ya wanandoa inasemaje?
Hapana mkuu sio kuidhalilisha taaluma ni kutoa elimu kwa uma sema inategemea elimu hiyo ameitoa kwa wakati upi na kwa lengo lipi. Kutoa elimu sio lazima uwe umeombwa au kutoa kwa wateja.
Ni kama vile humu tunavyotoa ushauri sio kwamba kila mara tunakuwa tumeombwa basi tu tunatoa tu mawazo yetu bila kujali yana faida kwa nani.
 
Sawa ni kweli
Lakini kulikua na hana gani ya kumwambia hivo lulu tena hadharani?
Ukute hata lulu mwenyewe anajua hill.

Hizi tabia za kumparamia mtu kwa style hazipendezi.
Inamfanya lulu aonekane kama whore flan ambaye terget yake ni Mali tu
Ahaaaa labda katoa elimu wengine wajuwe
 
Back
Top Bottom