simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Aisee kwa mtazamo huu kwa kweli -out of frying pan into the fire. Magu katutoa kwenye kikaango ametutosa kwenye moto- kutoka afadhali hadi kwenye balaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini usitumie lugha nzuri tukakuelewa? What kind of argument is this? There are several points noted,you should have better review to criticize and not just pounding!Hakuna kitu kaandika mtetezi wa wahuni tu huyo. Atuachie wazalendo tupambane yeye abaki na vifungu koko vya sheria alivyokariri kutetea mabeberu management ya Accacia.
Msomi Gani koko huyo asiyejua kuwa kilichokuwa kikifanywa na management ya accacia hakikuwa na baraka ya wanahisa wa Accacia? Ndio maana namuona kibaraka tu wa management ya accacia sio wanahisa wa accacia.
Management ya Acacia wamewaibia sana wana hisa wao subiri na ripoti ya makontaina waliyosafirisha miaka yote itoke wanahisa wapate taarifa yake. Huyu mwanasheria koko na wenzie akina lisu watatafuta shimo la kujificha. Mleta mada ni kati ya wanasheria finyu wasioangalia swala kwa upana wake.
Kabeba cv kubwa hewa. Kwa sasa wanahisa wako busy kuhakiki je kilichotoka Tanzania kiliwafikia kama kilivyo? Na je makontaina yaliyoondoka nchini yote yalienda kule kiwanda walichokubaliana au kuna yaliyochepushwa kwenda smelters zingine? Macho Ya wanahisa yote yako kwa magufuli wako naye asilimia 100 kwani wanataka ukweli ujulikane kujua kama management imewaibia au la.
Wakati wanahisa wako na magufuli wasomi sheria koko kama mleta maada wako na management ya accacia na wanapiga filimbi Ya hamelini kuitetea management. Mleta mada ona aibu nakala mpelekee tundu lisu na chadema. Hii vita tuachieni wazalendo nyie kaeni na mavyeti yenu koko ya sheria
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13],Doctor Kilangiee!! nakupinga sasa hatuwezi kuuza nchi kwa ajili ya makaratasi sasa!!!!!!
1. Umezungumzia suala la common heritage kuwa kwa kuwa baadhi ya nchi hazina madini basi iwe ruksa kwenda kuchota kwenye nchi zilizonayo .........Haikubalikiii!!!!! madini ni yetu na suala la madini si kama kwenye "high sea" amabapo kila mtu anaruhusiwa kutembea na kuvua ( shammba la bibi ) @ " RESCOMUNIIS"
2.Eti tutaenda kunyolewa bila maji huko ICSID kwa ku breach 'fair and equitable treatment' Hakuna hiyooo!!! wao wametutendea equity gani mpaka na sisi tuwatendee equity wanatuibia halafu waseme equity " IF YOU NEED EQUITY DO EQUITY:
3. Kwa kuwa hakuna mkataba wa kimataifa ambayo haina claus ya " PACTA SUNT SERVANDA" na kwa kuwa hao "mabwana wakubwa" hawakuiheshimu na wakaendelea kusafirisha mchanga kwa udanganyifu " maana yake hawajaheshimu mkataba" basi automatical doctine ya '' REBUS SIC STANTIBUS '' ita apply na kuufanya huo mkataba usitekelezeke !! yaani umevunyika nganganyanga beyond repair.
Hapo ndio nimetumia lugha Ya kiungwana hasaKwa nini usitumie lugha nzuri tukakuelewa? What kind of argument is this? There are several points noted,you should have better review to criticize and not just pounding!
Kama Dr. Kilangi amekufundisha wewe utakuwa graduate wa 2010 kuja juu. Maana Kilangi baada ya kufukuzwa seminari kuu alienda UDSM akamaliza sheria 2000, kisha akahangaika mtaani baadaye kwenye 2007 hivi kama sikosei akaja SAUT Ndiyo akawa amidi wa kitivo cha sheria wakati huo anasoma PhD UD.wapi, nani, lini??
14. Kuna tatizo kubwa sana linalozikumba hasa nchi za Africa na baadhi ya zinazoendelea zilizo nje ya Africa. Hili ni tatizo la 'state capture'. Kama ilivyo concept ya 'river capture' kwenye geography, basi state capture means influence by the elite or business people or investors such that the state (led by its government) fails to think on its own and it follows the thinking of the group that has captured it.
15. Wakati wa kufuata falsafa ya resource liberalism, Tanzania iliingia kwenye total 'state capture'. Ndio kusema tuliondoa kichwa chetu tukaweka kichwa kingine. Tukawa tunafikiri kwa mfumo wa hicho kichwa kingine. Sasa tumeanza kurudisha kichwa chetu.
24. Kwa hiyo kumbe tunaweza kufanya nini sasa? KAMA ALIVYOSEMA MHESHIMIWA RAIS, HII VITA, NA HII NILIYOTOA HAPA NDIO PICHA HALISI YA VITA HII.
ukapimwe akili wwHakuna kitu kaandika mtetezi wa wahuni tu huyo. Atuachie wazalendo tupambane yeye abaki na vifungu koko vya sheria alivyokariri kutetea mabeberu management ya Accacia.
Msomi Gani koko huyo asiyejua kuwa kilichokuwa kikifanywa na management ya accacia hakikuwa na baraka ya wanahisa wa Accacia? Ndio maana namuona kibaraka tu wa management ya accacia sio wanahisa wa accacia.
Management ya Acacia wamewaibia sana wana hisa wao subiri na ripoti ya makontaina waliyosafirisha miaka yote itoke wanahisa wapate taarifa yake. Huyu mwanasheria koko na wenzie akina lisu watatafuta shimo la kujificha. Mleta mada ni kati ya wanasheria finyu wasioangalia swala kwa upana wake.
Kabeba cv kubwa hewa. Kwa sasa wanahisa wako busy kuhakiki je kilichotoka Tanzania kiliwafikia kama kilivyo? Na je makontaina yaliyoondoka nchini yote yalienda kule kiwanda walichokubaliana au kuna yaliyochepushwa kwenda smelters zingine? Macho Ya wanahisa yote yako kwa magufuli wako naye asilimia 100 kwani wanataka ukweli ujulikane kujua kama management imewaibia au la.
Wakati wanahisa wako na magufuli wasomi sheria koko kama mleta maada wako na management ya accacia na wanapiga filimbi Ya hamelini kuitetea management. Mleta mada ona aibu nakala mpelekee tundu lisu na chadema. Hii vita tuachieni wazalendo nyie kaeni na mavyeti yenu koko ya sheria
Hakika hata mimi hili limenishangaza na kuliandikia. Katika taarifa ya kamati sijasikia au kusoma mahali popote tahadhari au limitations za taarifa yao. Badala yake kuna strong recommendatios kana kwamba wao ni authority. Hivi maabara iliyopima hizo sampuli inatambulika kimataifa?Hivi wale wasomi walipata wapi busara ya kufanya uchunguzi wa upande mmoja tu na wakaona wako sahihi?
Ukweli hata mimi kilaza wa sheria mpaka sasa nimeshindwa kuwaelewa na hii inanipa mashaka kuwa huenda kulikuwa na agenda ya siri maana sioni kulikuwa na ugumu gani kuwashirikisha.
Serikali na ACACIA walifunga mkataba wa kisayansi au wa kisheriaNi hivii?????? kwenye sayansi hakunaga majibu mawili ukifanya mfano quatitative analysis ya mineral flani ukishafikia mwisho na kusema labda 10kg ya dhahabu basi jibu ndio hilo. Hao waliochukua muda wao wameapa, na ni wataalamu walibobea kwenye fani hizo. Sayansi sio kama sheria muanze kuleta mambo ya " NEMO JUDEX IN CAUSA SUA" haipogo