Mwanasheria Dkt. Kilangi atoa ufafanuzi kuhusu mchanga wa madini uliozuiliwa na Rais

Aisee kwa mtazamo huu kwa kweli -out of frying pan into the fire. Magu katutoa kwenye kikaango ametutosa kwenye moto- kutoka afadhali hadi kwenye balaa.
 
Haya ndio wananchi wanatakiwa kuelimishwa na kuyafahamu. We still have long long journey.
Serikali ijitathimini upya katika kauli mbiu yake ya "kujua kusoma na kuandika tu" then unafaa kuwa kiongozi.
 
Kwa nini usitumie lugha nzuri tukakuelewa? What kind of argument is this? There are several points noted,you should have better review to criticize and not just pounding!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13],
Kweli viti na vyumba vya madarasa vinabeba mengi. Kwahiyo ndio umemaliza hapo.
 
Kwa nini usitumie lugha nzuri tukakuelewa? What kind of argument is this? There are several points noted,you should have better review to criticize and not just pounding!
Hapo ndio nimetumia lugha Ya kiungwana hasa
 
wapi, nani, lini??
Kama Dr. Kilangi amekufundisha wewe utakuwa graduate wa 2010 kuja juu. Maana Kilangi baada ya kufukuzwa seminari kuu alienda UDSM akamaliza sheria 2000, kisha akahangaika mtaani baadaye kwenye 2007 hivi kama sikosei akaja SAUT Ndiyo akawa amidi wa kitivo cha sheria wakati huo anasoma PhD UD.
 

Ili kuelewa vizuri point ya Dr. Kilangi ni vyema kuelewa vizuri analogy aliotumia ya 'river capture' kwa mujibu wa Geography (google utaelewa, ni rahisi sana kuelewa maana yake na factors zake)

24. Kwa hiyo kumbe tunaweza kufanya nini sasa? KAMA ALIVYOSEMA MHESHIMIWA RAIS, HII VITA, NA HII NILIYOTOA HAPA NDIO PICHA HALISI YA VITA HII.

Kwa mujibu wa analogy aliotumia Dr. Kilangi, mshindi wa vita ni 'capturing river' na alieshindwa ni 'captured river.'
 
Well said Dr...
Lakini wazalendo uchwara, wachumia tumbo, wanafiki, wagonga meza na waropokaji wa "ndiyooo mzeeeee" hawataelewa ulichoandika..!
 
Kila mtu awezakuchangia Kutokan na mtazamo/uelewa wake, lakini siku zote uhalisia hubaki ulivyo kwa wazalendo halisi na wazalendo bandia.
 
ukapimwe akili ww
 
Elimu elimu elimu elimu elimuuuuuuuuu.ccm ni povu ni kushangilia kila jambo ht MKT wao akijamba wao in kushangilia tu.
 
Sisi wapinzani tupo upande wa acacia. Tunataka acacia ashinde ili watz tuendelee kuibiwa na kulipa mabilioni ya fidia. Sincerely wapinzani
 
Hakika hata mimi hili limenishangaza na kuliandikia. Katika taarifa ya kamati sijasikia au kusoma mahali popote tahadhari au limitations za taarifa yao. Badala yake kuna strong recommendatios kana kwamba wao ni authority. Hivi maabara iliyopima hizo sampuli inatambulika kimataifa?
 
Mtoa mada....naomba kujua, je mpaka sasa kama nchi kuna kosa lolote tumelifanya? kama lipo ni lipi na kwa sheria ipi?
 
Serikali na ACACIA walifunga mkataba wa kisayansi au wa kisheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…