TANZIA Mwanasheria Mkuu wa Kwanza Mzalendo na Jaji Mstaafu Mark Bomani afariki dunia

Umemaliza mwendo babu Judge Mark Bomani RIP, Poleni familia ya mwendazake pamoja na marafiki zake wote wa karibu kama Judge Joseph S. Warioba, Amb. Juma V. Mwapachu & co.

Makubwa aliyoshiriki ktk nchi yetu ni mengi ikiwa pamoja na hili rasimu ya serikali tatu ya shirikisho yafafanuliwa serikali ya Muungano, serikali ya Tanganyika na serikali ya Zanzibar na sababu ya iwe Tanganyika na siyo Tanzania Bara jjaji mstaafu Mark Bomani anafunguka: Published on 15 Jun 2013 The United Republic of Tanganyika and Zanzibar The United Republic of Tanganyika and Zanzibar is renamed United Republic of Tanzania | South African History Online :
RASIMU YA KATIBA MPYA TANZANIA--SERIKALI TATU --NA MARK BOMANI

  1. Magawanyo wa serikali 3
  2. Mabunge matatu
  3. Mipaka na majukumu ya hizi serikali
  4. Mkokoteni mbele ya farasi na itegemewe farasi auvute mkokoteni huu
  5. Kitendawili cha mkokoteni mbele ya farasi kwanza kipatiwe ufumbuzi na kura za maoni za wananchi na siyo kufanyiwa uamuzi na viongozi
  6. Na kama wananchi wataweza wanautaka basi waseme kwa uhuru kabisa pia kinyume chake kama hauwataki wauseme kwa uhuru kabisa
  7. Viongozi kusema mfano Wazanzibari hawautaki huu Muungano, lini waliulizwa hivyo?
  8. Uraia wa jumla au wa sehemu yaani uTanganyika au uZanzibari ndani ya Muungano
  9. Cold War : Uhusiano wa kimataifa 1964 : Dar es Salaam waliegemea Magharibi wakati Zanzibar waliegemea Mashariki
  10. Gharama za serikali 3 ni mzigo au la ? Ni kujipanga zaidi au vipi? Mfano wenzetu Kenya wana serikali 47 za county pamoja na mabunge 47 ya county lakini mambo yanaendelea vipi kuhusu huku kwetu serikali 3?
 
How,Kama alikuwa hai hawakujali,iwe leo!
Kweli maccm makatili sn..... Hata Mkapa akiwa hai walikaa kimya amekua wamepeleka maiti uwanjani ndo rais anatangaza utaitwa Mkapa......
Nimeyachoka sn haya mashetani ccm
 
Mark bomani na paul bomani wanaundugu au ni majina tuh kufanana??
 
Pumzika kwa Amani Mzee wetu
 
Hali si hali watu, watanzania baadhi kama siyo wote wamechoka, kufuatia kifo cha Jaji mstaafu Mark Bomani, hii ni tweet ya rais wa Tanzania;

"Nawapa pole familia na wote walioguswa na kifo cha Jaji Mstaafu Mark Bomani. Nitamkumbuka kwa mchango wake mkubwa Serikalini katika masuala ya sheria na katika chama akiwa Mjumbe wa Baraza la Wadhamini wa CCM. Mwenyezi Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi, Amina."

Baada ya tweet hiyo hapa chini ni baadhi ya comments za wananchi wake wakimpa pole
πŸ˜‚...



Moderator au Mhariri huu uzi haukutakiwa kuunganisha hapa, mnakosea sana sana 😑, hii mafa hai ingiliani na hii mlipoiweka.

Muwe fair na mnachosha kiukweli, please muiondoe kwenye bandiko hili na mnajua ila mnajifanya hamjui.

Mmeondoa nilichokusudia ili muiunganishe hapa ili content zifanane how come mh?
 
CCM IMECHOKWA
 
Mwenyewe nilizipitia hizo comments nikajiuliza Magu sijui kitu gani kinamfanya afikiri anapendwa, raia wamemsiliba haswa!
Kwani duniani wavuta bangi wanakosa?
Pamoja na yesu kuponya na kufufua watu lakini wachawi wakataka afe, sasa wewe unashangaa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…