kipenseli2021
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 1,390
- 1,431
Ccm hatuna watu wa ovyoPungunza mihemko ya kishabiki pasipo hoja.. unapiga Kelele kushabikia uchafu kama wale nzi WA KIJANI chooni [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Alafu aliyekwambia Mimi Ni chadema Nani?.. Mimi Ni CCM kitambo sana
Wewe umejificha wapi?..Umejificha Kwa PC
Wapo wengi tu.. mfano Hai ni kama Hao waliopitisha mkataba WA kichoko..[emoji28][emoji28][emoji28]Ccm hatuna watu wa ovyo
Wakina mwijaku steve nyerere babalevel kumbuka eti ndiyo wanathaminiwa [emoji1]Watanzania wanaswagwa kama mifugo kila mtu katika mafungu yao iwe wanafunzi wa vyuo vikuu, kada ya ualimu, mkata mkonge, wanasheria nguli, madaktari, wakulima, wafugaji n.k hawana umoja wakiona mmoja wa watu ktk kundi lao au katika wingi wao wakidhulumiwa wote hubaki kufukiria kulia mayowe au kuombea atokee mwokozi mmoja awatetee.
Haki ya kumsema vibaya spika??Jamaa anaongea kitemi sana.
Lakini ni haki yake ya kikatiba.
Tena kamati hiyo hiyo ikimaliza imjadiliNaye avuliwe cheo Kwa kuruhusu mkataba mbovu wa DP World
Ni kweliNasisitiza Tena naTena
Wakati tulipo fiwa na Raisi tulisikia fununu katiba ilitaka kupindishwa Makamu wake asishike Uraisi kama katiba inavyo elekeza
Tuliambiwa Mkuu wa JWTZ aliokoa jahazi
Nasasa katiba inavunjwa kumilikisha Mali bila kufuata katiba
Hivyo ni wakati wa Mkuu wa JWTZ Tena kuingilia jambo hili
Hivi hao wajanja wakifanikiwa kutupora sehemu ya Ardhi huyo Mkuu wa JWTZ atakuwa na mamlaka ya kulinda sehemu hiyo Tena
Jamàni tuwe siriasi na nchi yetu au kwavile tuliipata Kwa amani
Mnataka wajukuu wake kukomboa Kwa vitaaa!!
"Kumsema vibaya" maana yake nini?Haki ya kumsema vibaya spika??
Haki ina mipaka
Samia kashawasifia, kasema "Watanzania warahimu sana".Hapa ingetakiwa wananchi tuwe wakali hasa. Hawa wameshaona sisi huwa hatuna cha kufanya zaidi ya kulalamikia mitandaoni.
AfutiweYuleyule aliyefanya figisu hadi kumfutia Leseni mwanadada Fatuma Karume, Mwanasheria mkuu wa Serikali bwana Feleshi amempeleka Wakili msomi ndugu Mwabukusi kwenye Kamati ya maadili ya Mawakili.
Katika malalamiko yake Mwanasheria wa Serikali anasema eti:
1. Mwabukuzi ni mchochezi.
2. Mwabukusi kavunja maadili ya uwakili kwa kuongea na vyombo vya habari baada ya ya kesi na kutoa matamshi ya kutaka Spika, Mbarawa na Waziri mkuu waachie ngazi.
3. Kwamba Mwabukuzi kaivunjia heshima mahakama.
Namkumbusha Mwanasheria mkuu kuwa asitafute diversion, kashindwa kuitetea serikali kwenye suala hili la mkataba sasa asianze witchhunt ili kuwatoa wananchi katika reli.
Pia Mwabukusi naye kama Mtanzania analindwa na katiba kwenye haki ya kutoa maoni. Kama hizo kanuni zenu za uwakili vinavunja haki hii ya Wakili kutoa maoni yasiyovunja sheria basi hivyo vitu na NULL and VOID ABNITIO.
Kitu kingine, Kamati ya mawakili siyo mahakama. Kama Mwabukusi kavunja sheria, Mpeleke mahakamani. Katiba inasema Mahakama ndiyo chombo cha kutafsiri sheria na kutoa haki nchini.
Kwa hiyo ndugu Feleshi, unajidhihirisha tu kuwa Umeshindwa kuitetea serikali kwenye mkataba mbovu, sasa unafanya Witchhunt. Yote hii ili mnyamazishe wananchi ili mfanikiwe azma yenu ya Kugawa Bandari zetu na kuuza nchi!
Wananchi hatutokubali!
Barua yenyewe ya mwanasheria mkuu wa serikali hii hapa.
View attachment 2704399
View attachment 2704644
Heri kijana mwenye busara kuliko mzee mpumbavu.Wakina mwijaku steve nyerere babalevel kumbuka eti ndiyo wanathaminiwa [emoji1]
Ova
Madelela na Mwanukuzi na Lissu ni akili fyatu.Wameshindwa kujibu hoja sasa wanatarget watu wanaopinga mkataba.
Wamemuweka ndani wakili Madeleka.
Wanataka kumnyamazisha wakili Mwabukusi.
Wapo wanakula njama namna ya kumdhibiti Lissu.
Tunataka uwekezaji katika bandari ili ule mkataba ni ovyo.Watu wanaoongea sana, fahamu kuwa hawana uwezo wa kufikiri mbali, muono wao upeo wake ni mwisho wa pua zao.