dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Mjinga utawajuwa tuAfungiwe tu..amekosa weledi kwa kutaka kiki! Kilichobaki akagombee uenyekiti wa Kijiji huko Mbeya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjinga utawajuwa tuAfungiwe tu..amekosa weledi kwa kutaka kiki! Kilichobaki akagombee uenyekiti wa Kijiji huko Mbeya.
Waliolifikisha taifa letu kwenye mikataba mibovu lini waliwahi kushughulikiwa au mnachagua upande tuMwabukusi anafahamu kuwa yeye kama wakili anapaswa kufanya kazi zake za uwakili kwa kuzingatia sheria ya mawakili pamoja na kanuni za kiwakili na endapo ataenda kinyume na sheria na taratibu zilizowekwa na chama cha mawakili basi ni haki kufutiwa leseni yake ya uwakili.
kila taaluma ina mabaraza yao ya maadili na ukikiuka utawajibishwa kwa mujibu wa sheria zao.
Mwambukuzi anaweza kuwajibishwa kwa kukiuka maadili ya taaluma na sio kwasababu anatetea kesi ya Bandari.
tusichanganye mambo kwenye hili, hata kama anatetea kesi hiyo lakini wakati huohuo anapaswa kuzingatia madili ya kazi yake.
wacha ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria zao za uwakili
Mm nilkuwa namuheshimu kumbe Ni zimbbukuku tuUjinga mtupu... Yeye Mwabukusi ,huo Uwakili anaendelea nao mpaka majukwaan, kwamba hatakiwi kuongea na vyombo vya Habari kwakua tu wakili?.
Akilibua Joho lake, so ni Mtanzania wa kawaida kabisaaaaa ambaye anatakiwa kutumia Utanzania wake
Suala liko wazi, lina sura ya Sheria na Siasa !!.
FELESHI AMEONYESHA NI MJINGA WAKUPINDUKIA !!
Mjinga utawajuwa
Ukipata mgao akili inahamia tumboni na kwenye makalioMwabukusi anafahamu kuwa yeye kama wakili anapaswa kufanya kazi zake za uwakili kwa kuzingatia sheria ya mawakili pamoja na kanuni za kiwakili na endapo ataenda kinyume na sheria na taratibu zilizowekwa na chama cha mawakili basi ni haki kufutiwa leseni yake ya uwakili.
kila taaluma ina mabaraza yao ya maadili na ukikiuka utawajibishwa kwa mujibu wa sheria zao.
Mwambukuzi anaweza kuwajibishwa kwa kukiuka maadili ya taaluma na sio kwasababu anatetea kesi ya Bandari.
tusichanganye mambo kwenye hili, hata kama anatetea kesi hiyo lakini wakati huohuo anapaswa kuzingatia madili ya kazi yake.
wacha ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria zao za uwakili
Asante kwa kunisemea nilishataka kuliwasilisha sura yake inautata sanaHuyu feleshehe ni kama mfuasi wa kupigwa upinde hivi???
tatizo tls imeshakuwa na vilima viwili ndani yake. Ina wafuasi wa ccm na vyama vya upinzani. Ni shida kubwa. Ipo siku itafika watatwangana makofiMwabukusi anafahamu kuwa yeye kama wakili anapaswa kufanya kazi zake za uwakili kwa kuzingatia sheria ya mawakili pamoja na kanuni za kiwakili na endapo ataenda kinyume na sheria na taratibu zilizowekwa na chama cha mawakili basi ni haki kufutiwa leseni yake ya uwakili.
kila taaluma ina mabaraza yao ya maadili na ukikiuka utawajibishwa kwa mujibu wa sheria zao.
Mwambukuzi anaweza kuwajibishwa kwa kukiuka maadili ya taaluma na sio kwasababu anatetea kesi ya Bandari.
tusichanganye mambo kwenye hili, hata kama anatetea kesi hiyo lakini wakati huohuo anapaswa kuzingatia madili ya kazi yake.
wacha ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria zao za uwakili
Nilikuwa sijaona wala sijui kama kuna kitu kinaendelea ndio nimeona sasa hivi.Unadhani atashinda hiyo "kesi"? This is a calculated move kama ya Fatma Karume
Hilo baraza adhabu zake ni kukufuta uwakili tu?Mwabukusi anafahamu kuwa yeye kama wakili anapaswa kufanya kazi zake za uwakili kwa kuzingatia sheria ya mawakili pamoja na kanuni za kiwakili na endapo ataenda kinyume na sheria na taratibu zilizowekwa na chama cha mawakili basi ni haki kufutiwa leseni yake ya uwakili.
kila taaluma ina mabaraza yao ya maadili na ukikiuka utawajibishwa kwa mujibu wa sheria zao.
Mwambukuzi anaweza kuwajibishwa kwa kukiuka maadili ya taaluma na sio kwasababu anatetea kesi ya Bandari.
tusichanganye mambo kwenye hili, hata kama anatetea kesi hiyo lakini wakati huohuo anapaswa kuzingatia madili ya kazi yake.
wacha ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria zao za uwakili
Kumfungia sio dawa. Dawa ni kurekebisha matatizo yaliyomo kwenye mkataba. Na siku nyingine, kwenye mikataba mikubwa. ushikaji lazima uwekwe pembeni. Sio watu wawili waojuana wanaingia mkataba mkubwa bila kufuata taratibu😀😀😀
Yesu akasema, " Mtu hawezi kuishi kwa Mkate tu"
Ndio sababu Othman Masoud aliyesimama Upande wa Haki sasa ni Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar
Hawa wameshaamua kukomoa. CCM haitoki madarakani labda kwa njia ya Niger!Nilikuwa sijaona wala sijui kama kuna kitu kinaendelea ndio nimeona sasa hivi.
Huyu AG ndiye aliyempeleka Profesa Mruma kudhalilishwa na kitoto kidogo tu ulaya?
Ccm hakuna sehemu walipatia kama kuwapa maisha mazuri top wa JWTZ.Hawa wameshaamua kukomoa. CCM haitoki madarakani labda kwa njia ya Niger!
Hiyo haizuii kuona maovu kwa watu wanaojitambuaCcm hakuna sehemu walipatia kama kuwapa maisha mazuri top wa JWTZ.
Akili za watu wa, ccm ndio zilipoishia,Yuleyule aliyefanya figisu hadi kumfutia Leseni mwanadada Fatuma Karume, Mwanasheria mkuu wa Serikali bwana Feleshi amempeleka Wakili msomi ndugu Mwabukusi kwenye Kamati ya maadili ya Mawakili.
Katika malalamiko yake Mwanasheria wa Serikali anasema eti:
1. Mwabukuzi ni mchochezi.
2. Mwabukusi kavunja maadili ya uwakili kwa kuongea na vyombo vya habari baada ya ya kesi na kutoa matamshi ya kutaka Spika, Mbarawa na Waziri mkuu waachie ngazi.
3. Kwamba Mwabukuzi kaivunjia heshima mahakama.
Namkumbusha Mwanasheria mkuu kuwa asitafute diversion, kashindwa kuitetea serikali kwenye suala hili la mkataba sasa asianze witchhunt ili kuwatoa wananchi katika reli.
Pia Mwabukusi naye kama Mtanzania analindwa na katiba kwenye haki ya kutoa maoni. Kama hizo kanuni zenu za uwakili vinavunja haki hii ya Wakili kutoa maoni yasiyovunja sheria basi hivyo vitu na NULL and VOID ABNITIO.
Kitu kingine, Kamati ya mawakili siyo mahakama. Kama Mwabukusi kavunja sheria, Mpeleke mahakamani. Katiba inasema Mahakama ndiyo chombo cha kutafsiri sheria na kutoa haki nchini.
Kwa hiyo ndugu Feleshi, unajidhihirisha tu kuwa Umeshindwa kuitetea serikali kwenye mkataba mbovu, sasa unafanya Witchhunt. Yote hii ili mnyamazishe wananchi ili mfanikiwe azma yenu ya Kugawa Bandari zetu na kuuza nchi!
Wananchi hatutokubali!
Barua yenyewe ya mwanasheria mkuu wa serikali hii hapa.
View attachment 2704399
View attachment 2704644