Mwanasheria Mkuu wa Serikali ataka kumfutia Leseni ya Uwakili Wakili Mwabukusi aliyefungua kesi kupinga mkataba wa DP World

Mwanasheria Mkuu wa Serikali ataka kumfutia Leseni ya Uwakili Wakili Mwabukusi aliyefungua kesi kupinga mkataba wa DP World

Mbona tunatishwa wa tanganyika na wazenji hv.Daaah njaa mbaya sana
 
Huyu mama tusijisumbue naye, ni kutafuta mbinu mbadala za kupata katiba mpya na tume huru.
Huyu ni dikiteita kama madikiteita waliowahi kutokea.
 
Feleshi alitakiwa kujua yafuatayo:
!. Analipwa mshahara mnono kwa kodi za wa Tz na kutokana na raslimali zetu.
2. Anatakiwa kujua kuwa yeye kama mwanasheria wa serikali alitakiwa kutumia Cheo chake kuchunguza huu mkataba OVU unaokwenda kupora raslimali za Taifa ambazo zinamlipa mshahara!
3. Yeye ameamua kumtumikia yule mwovu badala ya Mungu kama alivyoapa kuilinda katiba!
Tunachoweza kusema malipo ni hapahapa duniani na Mungu yupo na hachezewi Muda ni mwalimu mzuri sana
 
Mwabukusi anafahamu kuwa yeye kama wakili anapaswa kufanya kazi zake za uwakili kwa kuzingatia sheria ya mawakili pamoja na kanuni za kiwakili na endapo ataenda kinyume na sheria na taratibu zilizowekwa na chama cha mawakili basi ni haki kufutiwa leseni yake ya uwakili.

kila taaluma ina mabaraza yao ya maadili na ukikiuka utawajibishwa kwa mujibu wa sheria zao.

Mwambukuzi anaweza kuwajibishwa kwa kukiuka maadili ya taaluma na sio kwasababu anatetea kesi ya Bandari.
tusichanganye mambo kwenye hili, hata kama anatetea kesi hiyo lakini wakati huohuo anapaswa kuzingatia madili ya kazi yake.

wacha ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria zao za uwakili
Bandari tena!? Ndiyo sababu? You are just a senseless and dry/dead stodge who do not care about the communities you pretend to serve!
 
Huyu mama tusijisumbue naye, ni kutafuta mbinu mbadala za kupata katiba mpya na tume huru.
Huyu ni dikiteita kama madikiteita waliowahi kutokea.
Kwa Upinzani Wa Mbowe,Zito na chawa Wengine wapenda fedha.
Hakuna Katiba Mpya.
Ukilamba Asali usichokoze nyuki . Utanga'atwa na nyuki Kwa sababu ya harufu ya Asali.
 
Wakili msomi Boniface Kajunjumele Mwabukusi , ambaye amejipambanua kama mtetezi wa Rasirimali za Taifa , amepangwa kuvuliwa uwakili wake kwa maelekezo ya Wakubwa .

Tayari Mwabukusi ameshitakiwa kwenye kamati ya maadili ya mawakili , kwa tuhuma za kumshambulia Spika wa Bunge na Waziri Mkuu kwa maneno .

Mbinu hii inayotumika kwa Mwabukusi ndio iliyotumika kumvua Uwakili Fatuma Karume .

Bali inafahamika kote duniani kwamba hakuna popote pale ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu
Sure haya mashetani ni wakati yanaenda kuangukia pua kwa aibu! Feleshi hakuhudhuria hata kikao kilichoratify mkataba kinyume na matarajio ya kisheria. Haya yamekuwa ya kutumiwa kama majini tu. Shame on Feleshi and other dead woods of the bar!
 
Afungiwe tu..amekosa weledi kwa kutaka kiki! Kilichobaki akagombee uenyekiti wa Kijiji huko Mbeya.
Wewe bata mzinga mchafu! mdau wa majambazi, kuwadi wa mabwana wa utumwa waarabu na Fisadi mla damu za watu wakati wenu umefika kikomo!
 
kwa hiyo wewe unataka kumfundisha mwanasheria mkuu kazi? watu wengine k hamna akili si mkatafute hata za kuazima? Kila kazi ina maadili yake bwanamdogo, uwakili hata una uvaaji wake hawezi kuvaa T-shirt km wewe. Ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria na taratibu za maadili ya uwakili.
 
Wakati judge wake kampongeza Mwabukusi, anataka tu kumfanikisha maana jamaa kwa ushawishi alionao ataishia kuingia kwenye siasa na kuwa mwana mageuzi mzuri atakayefanikiwa sana
we kweli zuzu km yeye huwezi hata kuelewa kitu, Jaji alimpongeza au alimwona zuzu
 
Mwabukusi anafahamu kuwa yeye kama wakili anapaswa kufanya kazi zake za uwakili kwa kuzingatia sheria ya mawakili pamoja na kanuni za kiwakili na endapo ataenda kinyume na sheria na taratibu zilizowekwa na chama cha mawakili basi ni haki kufutiwa leseni yake ya uwakili.

kila taaluma ina mabaraza yao ya maadili na ukikiuka utawajibishwa kwa mujibu wa sheria zao.

Mwambukuzi anaweza kuwajibishwa kwa kukiuka maadili ya taaluma na sio kwasababu anatetea kesi ya Bandari.
tusichanganye mambo kwenye hili, hata kama anatetea kesi hiyo lakini wakati huohuo anapaswa kuzingatia madili ya kazi yake.

wacha ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria zao za uwakili
Wenye roho mbaya mko vzr felishi Ni beleshi tu
 
Wameshindwa kujibu hoja sasa wanatarget watu wanaopinga mkataba.

Wamemuweka ndani wakili Madeleka.

Wanataka kumnyamazisha wakili Mwabukusi.

Wapo wanakula njama namna ya kumdhibiti Lissu.
Utawla wa mam huyu Ni copy ya maguffuli ila kwa mama Ni mbaya Zaid
 
Back
Top Bottom