Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mwabulukusi afungiwe tena haraka sana. Nashangaa mpaka leo bado hajafungiwa.Yuleyule aliyefanya figisu hadi kumfutia Leseni mwanadada Fatuma Karume, Mwanasheria mkuu wa Serikali bwana Feleshi amempeleka Wakili msomi ndugu Mwabukusi kwenye Kamati ya maadili ya Mawakili.
Katika malalamiko yake Mwanasheria wa Serikali anasema eti:
1. Mwabukuzi ni mchochezi.
2. Mwabukusi kavunja maadili ya uwakili kwa kuongea na vyombo vya habari baada ya ya kesi na kutoa matamshi ya kutaka Spika, Mbarawa na Waziri mkuu waachie ngazi.
3. Kwamba Mwabukuzi kaivunjia heshima mahakama.
Namkumbusha Mwanasheria mkuu kuwa asitafute diversion, kashindwa kuitetea serikali kwenye suala hili la mkataba sasa asianze witchhunt ili kuwatoa wananchi katika reli.
Pia Mwabukusi naye kama Mtanzania analindwa na katiba kwenye haki ya kutoa maoni. Kama hizo kanuni zenu za uwakili vinavunja haki hii ya Wakili kutoa maoni yasiyovunja sheria basi hivyo vitu na NULL and VOID ABNITIO.
Kitu kingine, Kamati ya mawakili siyo mahakama. Kama Mwabukusi kavunja sheria, Mpeleke mahakamani. Katiba inasema Mahakama ndiyo chombo cha kutafsiri sheria na kutoa haki nchini.
Kwa hiyo ndugu Feleshi, unajidhihirisha tu kuwa Umeshindwa kuitetea serikali kwenye mkataba mbovu, sasa unafanya Witchhunt. Yote hii ili mnyamazishe wananchi ili mfanikiwe azma yenu ya Kugawa Bandari zetu na kuuza nchi!
Wananchi hatutokubali!
Barua yenyewe ya mwanasheria mkuu wa serikali hii hapa.
Watu km nyinyi huko Singapore mnakula shaba za kichwa mda mfupi sanabwana Feleshi
Jinga sananilipoona hoja ya kuzungumzia kesi wakati ipo mahakamani, nimemwona kilaza kwani hayo madai alitakiwa kuwasilisha mahakamani
CCM inatumia mbinu za kishamba sana !
Wameona hawakabiki wakaona bora lawama kuliko fedheha, hivyo wakaamu wawavute Jezi.Yuleyule aliyefanya figisu hadi kumfutia Leseni mwanadada Fatuma Karume, Mwanasheria mkuu wa Serikali bwana Feleshi amempeleka Wakili msomi ndugu Mwabukusi kwenye Kamati ya maadili ya Mawakili.
Katika malalamiko yake Mwanasheria wa Serikali anasema eti:
1. Mwabukuzi ni mchochezi.
2. Mwabukusi kavunja maadili ya uwakili kwa kuongea na vyombo vya habari baada ya ya kesi na kutoa matamshi ya kutaka Spika, Mbarawa na Waziri mkuu waachie ngazi.
3. Kwamba Mwabukuzi kaivunjia heshima mahakama.
Namkumbusha Mwanasheria mkuu kuwa asitafute diversion, kashindwa kuitetea serikali kwenye suala hili la mkataba sasa asianze witchhunt ili kuwatoa wananchi katika reli.
Pia Mwabukusi naye kama Mtanzania analindwa na katiba kwenye haki ya kutoa maoni. Kama hizo kanuni zenu za uwakili vinavunja haki hii ya Wakili kutoa maoni yasiyovunja sheria basi hivyo vitu na NULL and VOID ABNITIO.
Kitu kingine, Kamati ya mawakili siyo mahakama. Kama Mwabukusi kavunja sheria, Mpeleke mahakamani. Katiba inasema Mahakama ndiyo chombo cha kutafsiri sheria na kutoa haki nchini.
Kwa hiyo ndugu Feleshi, unajidhihirisha tu kuwa Umeshindwa kuitetea serikali kwenye mkataba mbovu, sasa unafanya Witchhunt. Yote hii ili mnyamazishe wananchi ili mfanikiwe azma yenu ya Kugawa Bandari zetu na kuuza nchi!
Wananchi hatutokubali!
Barua yenyewe ya mwanasheria mkuu wa serikali hii hapa.
Huyu mlevi mwakubusi ndio Mungu wenuWakili msomi Boniface Kajunjumele Mwabukusi , ambaye amejipambanua kama mtetezi wa Rasirimali za Taifa , amepangwa kuvuliwa uwakili wake kwa maelekezo ya Wakubwa .
Tayari Mwabukusi ameshitakiwa kwenye kamati ya maadili ya mawakili , kwa tuhuma za kumshambulia Spika wa Bunge na Waziri Mkuu kwa maneno .
Mbinu hii inayotumika kwa Mwabukusi ndio iliyotumika kumvua Uwakili Fatuma Karume .
Bali inafahamika kote duniani kwamba hakuna popote pale ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu
Sasa ulewe wewe halafu usingizie Mwabukusi !