Mwanasheria Mkuu wa Serikali ataka kumfutia Leseni ya Uwakili Wakili Mwabukusi aliyefungua kesi kupinga mkataba wa DP World

Mwanasheria Mkuu wa Serikali ataka kumfutia Leseni ya Uwakili Wakili Mwabukusi aliyefungua kesi kupinga mkataba wa DP World

Wakili msomi Boniface Kajunjumele Mwabukusi , ambaye amejipambanua kama mtetezi wa Rasirimali za Taifa , amepangwa kuvuliwa uwakili wake kwa maelekezo ya Wakubwa .

Tayari Mwabukusi ameshitakiwa kwenye kamati ya maadili ya mawakili , kwa tuhuma za kumshambulia Spika wa Bunge na Waziri Mkuu kwa maneno .

Mbinu hii inayotumika kwa Mwabukusi ndio iliyotumika kumvua Uwakili Fatuma Karume .

Bali inafahamika kote duniani kwamba hakuna popote pale ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu
NCHI ya HOVYO SANA HII Kwa hiyo MAWAKILI WANATAKIWA WAUNGE MKONO mikataba ya HOVYO Kinyume chake Watavuliwa UWAKILI?
 
Mwabukusi anafahamu kuwa yeye kama wakili anapaswa kufanya kazi zake za uwakili kwa kuzingatia sheria ya mawakili pamoja na kanuni za kiwakili na endapo ataenda kinyume na sheria na taratibu zilizowekwa na chama cha mawakili basi ni haki kufutiwa leseni yake ya uwakili.

kila taaluma ina mabaraza yao ya maadili na ukikiuka utawajibishwa kwa mujibu wa sheria zao.

Mwambukuzi anaweza kuwajibishwa kwa kukiuka maadili ya taaluma na sio kwasababu anatetea kesi ya Bandari.
tusichanganye mambo kwenye hili, hata kama anatetea kesi hiyo lakini wakati huohuo anapaswa kuzingatia madili ya kazi yake.

wacha ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria zao za uwakili
Huu ndio ukweli.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Wakili msomi Boniface Kajunjumele Mwabukusi , ambaye amejipambanua kama mtetezi wa Rasirimali za Taifa , amepangwa kuvuliwa uwakili wake kwa maelekezo ya Wakubwa .

Tayari Mwabukusi ameshitakiwa kwenye kamati ya maadili ya mawakili , kwa tuhuma za kumshambulia Spika wa Bunge na Waziri Mkuu kwa maneno .

Mbinu hii inayotumika kwa Mwabukusi ndio iliyotumika kumvua Uwakili Fatuma Karume .

Bali inafahamika kote duniani kwamba hakuna popote pale ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu
Mwache avuliwe,kama ana makosa.
 
Back
Top Bottom