Mwanasheria Mkuu wa Serikali ataka kumfutia Leseni ya Uwakili Wakili Mwabukusi aliyefungua kesi kupinga mkataba wa DP World

Huyo mwabulukusi afungiwe tena haraka sana. Nashangaa mpaka leo bado hajafungiwa.
 
Tuangalie majina tunayowapa watoto wetu ,inakuwaje mtu anaitwa "FURUSHI" au "MITUNGI"? Sasa huyo Furushi kama ameshindwa kujibu hoja akae kimya aendelee kulamba asali.

FURUSHI - MZIGO
MITUNGI - POMBE
 
Haya mambo ya kipuuzi na kishenzi yatawafanya watawaliwa wachukiwe na kudharauliwa sana na wananchi.

Hakuna kiongozi mwenye hekima, upeo mpana na busara anayeweza kuruhusu mambo ya kipuuzi kama haya yatokee. Ni sawa na ule ushenzi uliofanyika dhidi ya Mbowe.

Mambo kama haya yanaeleza kwa ufupi aina ya tawala tulizopo Afrika. Ndiyo maana miaka yote, Afrika itaendelea kuwa bara mkia.
 
Wameona hawakabiki wakaona bora lawama kuliko fedheha, hivyo wakaamu wawavute Jezi.
 
Huyu mlevi mwakubusi ndio Mungu wenu

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…