Mwanasheria Mkuu wa Serikali ataka kumfutia Leseni ya Uwakili Wakili Mwabukusi aliyefungua kesi kupinga mkataba wa DP World

Upumbavu, kwahio kama wakilin haruhusiwi kutumia haki yake ya "right to speak" kwa sababu ameinanga serikali kwa upumbavu usiomithilika juu ya mkataba wa kijinga wa bandari?
 
Ndio dalili ya mtu kuishiwa kwa hoja huwa analazimisha ushindi kivyovyote. Sasa wanamfutia leseni kama kumkomoa ama?
Hii nchi ina mambo ya hovyo sana aisee bora kuzamia mamtoni tu. Mambo yanayoendelea ni ya kutia kinyaa sana.
 
Mdahalo live? unataka CCM waingie chini ya uvungu wa vitanda wakati wenzio ndiyo kwanza wanabeba watu kwenda kwenye mikutano yao kushawishi uwekeza ji wa bandali kwa mkataba mbovu
 
Serikali ikiendeshwa na matapeli huwa kama hivi
 
Wakati judge wake kampongeza Mwabukusi, anataka tu kumfanikisha maana jamaa kwa ushawishi alionao ataishia kuingia kwenye siasa na kuwa mwana mageuzi mzuri atakayefanikiwa sana
Mbeya washamuandalia jimbo sugu atafute sehemu nyingine ya kugombea na tulia kama anautaka uspika aende kwao tukuyu.
 
Ivi ingekuwa amewasema chadema so angeteuliwa nawaza tu
 
Mkiona wanasheria wanashughulikiwa basi mjue hakuna kada itakayo watetea, sio jeshi, walimu, daktari wala waganga wa jadi.

Mkiona haya yanatokea basi jueni hali itakuwa mbaya kwa raia wa kawaida anayekosoa.

Mama siku hizi anaupiga mchache sn.
 
Teeth washa muaproach felesh mnategemea afanyaje?

Kwa umri ule Ana familia, na zaidi anajiandaa kustahafu vizuri ale matunda ya kazi yake...

Akina Keller man washa mpa memo aidha amfungie mwabukusi, au apate mapunjo katika pension yake na wakienda mbali zaidi wafuke file lake.....

Kwenye hizi kazi lazima tu mpaka kufikia nafasi alinayo kuna sehemu ali mess-up so watu wanakuja na full nondo lazima usande.
 
Serikali ikiendeshwa na matapeli huwa kama hivi
Huo ni ujinga uliojazwa nao, nawe kwa kuwa ni kondoo unakubali kila unachoambiwa na mchungaji wako, hata likiwa bwabwa.

Sikushangai.
 
Ndio dalili ya mtu kuishiwa kwa hoja huwa analazimisha ushindi kivyovyote. Sasa wanamfutia leseni kama kumkomoa ama?
Hii nchi ina mambo ya hovyo sana aisee bora kuzamia mamtoni tu. Mambo yanayoendelea ni ya kutia kinyaa sana.
[emoji16] sasa ukizamia mamtoni imagine mto una kina kirefu si unapotea mazima extrovert?
 
Nchi hii inapoteza kesi nyingi huyu jamaa akiwa AG yeye yuko busy na watu wanaopinga DP world...Nyie mtakuja kuiharibu hii nchi bila kujua..msiwaone watu mafala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…