Mwanasheria Mkuu wa Serikali ataka kumfutia Leseni ya Uwakili Wakili Mwabukusi aliyefungua kesi kupinga mkataba wa DP World

Waliolifikisha taifa letu kwenye mikataba mibovu lini waliwahi kushughulikiwa au mnachagua upande tu
 
Maandamano makubwa sna yaitishwe kukemaa ufedhuli wa serekali ya samia
 
Mm nilkuwa namuheshimu kumbe Ni zimbbukuku tu
 
asubiri kesi iishe halafu ndo wamalizene na mwabukusi. Na hii kesi lazima inamharibia kitumbua Bwana Feleshi
 
Ndio shida yetu.
Ukimwambia dingi, pandisha suruali tako linaonekana, anaona umemtukana, anataka kurusha keleb,
Ukisema umpandishe surual, atasema umemshika kalio.
kumbe umemuepusha na fedheha, watu wengi wangeona kalio lake na wengine kumfikiria vibaya zaidi.

Kwanini serikali haipendi pingwa? Ukihitaji maelezo ya kina tayari unaletewa zengwe.
 
Ukipata mgao akili inahamia tumboni na kwenye makalio
 
Hii imewaingia vizuri wameanza kutupa miguu na mikono, kama wanajiona wako sahihi si waendelee kushindana mahakamani πŸ€”πŸ€” kwa nini wana anza kutafuta mteremko πŸ€”πŸ€” au ni muendelezo wa watu wa hovyo waliwekwa kwa mjuano kama yule profesa wa hovyo alieenda kuliaibisha taifa kwenye mahakama uzunguni kule
 
tatizo tls imeshakuwa na vilima viwili ndani yake. Ina wafuasi wa ccm na vyama vya upinzani. Ni shida kubwa. Ipo siku itafika watatwangana makofi
 
Hilo baraza adhabu zake ni kukufuta uwakili tu?
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Yesu akasema, " Mtu hawezi kuishi kwa Mkate tu"

Ndio sababu Othman Masoud aliyesimama Upande wa Haki sasa ni Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar
Kumfungia sio dawa. Dawa ni kurekebisha matatizo yaliyomo kwenye mkataba. Na siku nyingine, kwenye mikataba mikubwa. ushikaji lazima uwekwe pembeni. Sio watu wawili waojuana wanaingia mkataba mkubwa bila kufuata taratibu
 
Nilikuwa sijaona wala sijui kama kuna kitu kinaendelea ndio nimeona sasa hivi.

Huyu AG ndiye aliyempeleka Profesa Mruma kudhalilishwa na kitoto kidogo tu ulaya?
Hawa wameshaamua kukomoa. CCM haitoki madarakani labda kwa njia ya Niger!
 
Akili za watu wa, ccm ndio zilipoishia,
Baada ya kujibu hoja, akili zao zimedumaa kama makamasi,wanaona bora wazuie watu wasiwapinge, huwa nawaza haya makenge yakipelekwa Kenya, yakae kwa 24hrs tu, yaongoze nchi, yatakufa kwa presha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…