PostGE2025 Mwanasheria Mkuu wa Serikali baada ya kuapishwa na Rais, aapa kumkamata Mange Kimambi. Anasema kapewa maelekezo!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wanacheza na hisia zake.
 
Kama Trump kapigwa risasi ya sikio huyo Mange hamna haja ya kumkamata apigwe risasi hukohuko maiti yake izikwe hukohuko hatutaki hiyo laana.
Nina uhakika Mange anaweza kuingia hapo Dar na msimfanye kitu zaidi ya kumpiga deportation, kumteka au kumuua raia wa US utakuwa mwisho wa bi ushungi na vikwazo vya kuua uchumi wa nchi
 
Basi hapo Hilo mama lao limesikia hivyo, linaona limepatia uteuzi kishenzi

Watu tulikuwa na hasira kitambo tu, huyo Mange sikuwa namkubali na itakadi zake za umbea (sikum follow).

Nolikuja kumfollow baada ya kuona anapost vitu ambavyo sisi ambao hatuna followers wengi "duniani" tulitamani tuvipost
 
Mpumbavu wewe kwani kuwa Raia wa Marekani ndo nini? Limbukeni kweli wewe jamaa. WAMAREKANI wangapi wanafanya uhalifu sehemu mbalimbali duniani na kuhukumiwa. mjinga kabisa wewe jamaa
 
Unadhani wana akili hao? Hiyo code language! In plain language, wanasema watamtafutia namna auawe!
This is fantastic!

We got him right where we want him.

1. He’s emotional. Kwanza kwa nini anaongelea appearance ya Mange? Si ajabu huwa ana masturbate kutumia picha yake.

2. Mwanasheria mkuu ambaye hajui kama tuna extradition treaty na Marekani 😂. Dumbass.

3. Anatoa siri za maagizo unwittingly. Which is more ammunition for the other side.

4. Mange atapata fursa nzuri sana ya kuwasilisha madhambi yao kwa State Department na Justice Department.

We need the top echelon of the US government to have intimate knowledge of their actions.

So I’d like to tell him that….please go ahead and make our day.

He is a blessing in disguise 😂. I’m smiling already.

Badala ya ku focus na wale wauaji, yeye focus yake iko kwa Mange.

Upside down priorities.

But is should be expected.
 
Kwa hiyo mlihamasishwa na raia wa marekani kuleta vurugu?ina maana marekani inakiri kuingilia uchaguzi wa Tanzania,?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…