Mwanasheria wa Yanga asema waliinyima Simba haki ya kufanya mazoezi kwa kuwa nao walinyimwa mechi ya kwanza

Lupweko

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Posts
23,566
Reaction score
24,891
  • Ataka busara itumike, kanuni zikae kando kwanza
  • Adhihirisha kuwa mabaunsa walitumwa na uongozi

Tuendelee kuhifadhi post walizoweka mwanzo mwanzo, zitasaidia kujua kilichopangwa na kilichofanywa.

  • Ataka busara itumike, kanuni zikae kando kwanza
  • Adhihirisha kuwa mabaunsa walitumwa na uongozi

Tuendelee kuhifadhi post walizoweka mwanzo mwanzo, zitasaidia kujua kilichopangwa na kilichofanywa.

View attachment 3265489
YANGA TUNA BAHATI MBAYA YA KUWA NA WATU VILAZA. SIJUI KWA NINI???????????????? HUYU NI MWANASHERIA KABISAAA? SI BORA ANGENYAMAZA TU. KWANI HAPENDI KUONEKANA ANA AKILI?
 
Uthibitisho kuwa huyu ni mwanasheria wa Yanga u wapi!!??
 
Na ndio maana huyu mwanasheria hajawahi kushinda kesi yoyote.
Angekaa kimya tu badala yake anaongeza ushahidi wa Yanga kuingia hatiani kwa kuandaa maovu

NOTE:
Kwenye Football - Mtu akikuchezea Rafu, kisha wewe ukilipiza kwa makusudi. Wewe ulielipiza ndio unapewa RED card. (Hivyo Yanga wajiandae kwa adhabu, na kulipa gharama zote za maandalizi ya mchezo zilizovurugika)
 
sawa tutaona
 
Baada ya Yanga kupoteza lile sakata la Kagoma, Yanga wakamtema.
 
Luc Eymael dhidi ya Mashabiki wa Yanga

"Mashabiki walikuwa wanamzomea Yikpe ili nimtoe. Mashabiki wa Yanga ni kama mambumbu, wanapiga makelele tu na kuzomea kama nyani au kubweka kama mbwa" Luc Eymael
 
YANGA TUNA BAHATI MBAYA YA KUWA NA WATU VILAZA. SIJUI KWA NINI???????????????? HUYU NI MWANASHERIA KABISAAA? SI BORA ANGENYAMAZA TU. KWANI HAPENDI KUONEKANA ANA AKILI?
Tunawaambiaga mnataka kututoa meno.huyu sio mwanasheria ni mwanaHARISHA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…