Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo na wewe hujanielewa mkuu,wao walienda kukamata mbuzi wakasahau kanuni.Tatizo kwenye soka hakuna kanuni ya mbuzi wala vizee, lakini kanuni ya mgeni kufanya mazoezi ipo. Achana na ushirikina, tazama kanuni
Usikute ni chizi asiye na maarifaYANGA TUNA BAHATI MBAYA YA KUWA NA WATU VILAZA. SIJUI KWA NINI???????????????? HUYU NI MWANASHERIA KABISAAA? SI BORA ANGENYAMAZA TU. KWANI HAPENDI KUONEKANA ANA AKILI?
HeheheHuyu mwanasheria aliokotwa wapi?
Km kuna kutumia busara sheria ni ya kazi gani
- Ataka busara itumike, kanuni zikae kando kwanza
- Adhihirisha kuwa mabaunsa walitumwa na uongozi
Tuendelee kuhifadhi post walizoweka mwanzo mwanzo, zitasaidia kujua kilichopangwa na kilichofanywa.
View attachment 3265489