Mwanasheria wa Yanga asema waliinyima Simba haki ya kufanya mazoezi kwa kuwa nao walinyimwa mechi ya kwanza

Tatizo kwenye soka hakuna kanuni ya mbuzi wala vizee, lakini kanuni ya mgeni kufanya mazoezi ipo. Achana na ushirikina, tazama kanuni
Nipo na wewe hujanielewa mkuu,wao walienda kukamata mbuzi wakasahau kanuni.
 
YANGA TUNA BAHATI MBAYA YA KUWA NA WATU VILAZA. SIJUI KWA NINI???????????????? HUYU NI MWANASHERIA KABISAAA? SI BORA ANGENYAMAZA TU. KWANI HAPENDI KUONEKANA ANA AKILI?
Usikute ni chizi asiye na maarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…