Mwanauke: Mbinu za kupata utajiri usioyumba [Kushuka yaani ni Kupanda tu hadharani]

Kenya hakuna ajira mpaka unatafutia ndoa tanzania wanawake wa kikuyu bwashee
 
Hapo kigoma, kuna wataalamu wanatoa dawa/tiba za utajiri

Nakuhakikishia utakuwa juu miaka yote ukifata masharti, binafs nilikataa utajiri wa hivyo

Wanawake/wanaume

Nyoka
Kuoza
Sanduku
Kulala chini
Kutembea peku
Kufa kwa siku 3
Kufuga watu kwa miujiza/sukule
Kijoka kwenye kibegi

Upo tofauti tofauti, njia zipo nyingi hapo sijazielezea
 
Fix tu!
Huo mkoa wenyewe maskini ndio utoe utajiri? 😹😹

Watanzania tunapenda vitu rahisi rahisi vya miujiza ndiomana mnapigwa..!!
 
Hapo kigoma, kuna wataalamu wanatoa dawa/tiba za utajiri

Nakuhakikishia utakuwa juu miaka yote ukifata masharti, binafs nilikataa utajiri wa hivyo

Wanawake/wanaume

Nyoka
Kuoza
Sanduku
Kulala chini
Kutembea peku
Kufa kwa siku 3
Kufuga watu kwa miujiza/sukule
Kijoka kwenye kibegi

Upo tofauti tofauti, njia zipo nyingi hapo sijazielezea
Hakuna kitu kigumu kama kuishi kwa masharti yaani ni jambo la muda utakosea TU.

Ni Bora mara mia uende kwa mwamposa kuliko mambo ya uganga na Mali za kichawiii
 
Mkuu sasa kwa Mwamposa si unaenda kumtajirisha yeye na wewe kubaki na matumaini ya utajiri tu.
Pale Kuna upako japo Mimi ni mlokole mambo Leo.

Naandika nikiwa na akili timamu Mimi nikiwa na jambo lolote Huwa naenda pale..

Unajua Huwa nafanya nini..KUNA SADAKA MOJA HII HUWA INAFUNGUA NEEMA, BAHATI, NYOTA KUNG'AA, CONNECTION, DEALS, KAZI, MAFANIKIO KWA JAMBO NALO LITAKA.

HUWA NATOA SADAKA YA KUPELEKA INJILI ZIPO MAFUNGU MATANO ,50,30,20,10, ELFU 5 Sasa jambo la kufanya simama kwenye anaweza kutoa NENDA PALE MADHABAUNI UTAMWAGIWA MAJI YA BARAKA TOA ZAKO SADAKA SEPA.

Nawa ambia humu ndanii..MTU YEYOTE AFANYE THEN RUDII KUTUPA MREJESHO
 
Ni kweli na Imani inatakiwa apo ili itimie
 
Kumbe wajinga wengi! Ona huyu pia Labella ndiyo maana anajiita am real PhD, angesema am a PhD holder
 
Sina muda wa kubishana humu..kwa kifupi manabii wa Mungu na mitume wake Wana uwezo wa kufanya mengi kwa jina la Mungu mkuu muumba wa mbingu na ardhi na vyoteee vilivyomo.

Kwa kifupi, ahadi kuu za Mungu kwa Sulemani zilikuwa: hekima, ufahamu, utajiri, heshima, utukufu, na maisha marefu (kwa sharti la utii).

Kwahiyo brain your eyes utajiri mkubwa unatoka kwa Mungu mwenyewe
Mwamposa naye anatoa utajiri kumbe
 
Back
Top Bottom