binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
🤣Fix tu!
Huo mkoa wenyewe maskini ndio utoe utajiri? 😹😹
Watanzania tunapenda vitu rahisi rahisi vya miujiza ndiomana mnapigwa..!!
🤣Fix tu!
Huo mkoa wenyewe maskini ndio utoe utajiri? 😹😹
Watanzania tunapenda vitu rahisi rahisi vya miujiza ndiomana mnapigwa..!!
hapana NGOGO hii inaunafuu, haina masharit sema bei yake ni sawa na mtaji ila biashara itapeta.Apo kwenda kwa mganga mambo sndo yaleyale mkuu
E
Sawa mkuu, kumbe kuna nguvu kwenye sadakaPale Kuna upako japo Mimi ni mlokole mambo Leo.
Naandika nikiwa na akili timamu Mimi nikiwa na jambo lolote Huwa naenda pale..
Unajua Huwa nafanya nini..KUNA SADAKA MOJA HII HUWA INAFUNGUA NEEMA, BAHATI, NYOTA KUNG'AA, CONNECTION, DEALS, KAZI, MAFANIKIO KWA JAMBO NALO LITAKA.
HUWA NATOA SADAKA YA KUPELEKA INJILI ZIPO MAFUNGU MATANO ,50,30,20,10, ELFU 5 Sasa jambo la kufanya simama kwenye anaweza kutoa NENDA PALE MADHABAUNI UTAMWAGIWA MAJI YA BARAKA TOA ZAKO SADAKA SEPA.
Nawa ambia humu ndanii..MTU YEYOTE AFANYE THEN RUDII KUTUPA MREJESHO
Mzee alaf naomba kuuliza kidogo, hii picha ni AI … maana nna picha mfano wa hiyo hiyo nimepiga kwa mikono yangu nilipotembelea kijiji fulani hivi.. miaka mingi iliyopita
Bila kuvuja jasho sahau kupata pesa..!!Kwani wewe unapenda vigumu 😅😅😅😅
Hiyo haipo nakataa..!!Jiulize ati mtu akutajirishe wewe wakati yeye ni kapuku!
Duh! Hizi mbinu ni ngumu kumeza aisee 🤔Hapo kigoma, kuna wataalamu wanatoa dawa/tiba za utajiri
Nakuhakikishia utakuwa juu miaka yote ukifata masharti, binafs nilikataa utajiri wa hivyo
Wanawake/wanaume
Nyoka
Kuoza
Sanduku
Kulala chini
Kutembea peku
Kufa kwa siku 3
Kufuga watu kwa miujiza/sukule
Kijoka kwenye kibegi
Upo tofauti tofauti, njia zipo nyingi hapo sijazielezea
Sina wasiwasi ila utajiri wa ghafla haupo..!!Twende ukathibitishe… unaonekana kabsa muoga wewe ila unajua kabsa utajiri wa hivyo upo ila umejawa na wasi wasi tu.. utaishi maisha ya hivyo mpaka lini
Sema ni za uhakikaDuh! Hizi mbinu ni ngumu kumeza aisee 🤔
Kazi utafanya sema kwa udogo ila mafanikio mengi, kwa mfano utaambiwa ufungue biashara mfano ya kuuza karanga ila jioni ukipiga mahesabu pesa ni nyingi mno, biashara itapamba motoSina wasiwasi ila utajiri wa ghafla haupo..!!
Tajiri gani alipata pesa bila kufanya kazi? Nitajie.
Nakwambia hivi hakuna mtanzania anayependa umaskini. Km kweli hizo dawa zipo watanzania wote tungekuwa matajiri..!!
Toka lini muhabeshi akatapeliwa 😹😹😹Nenda pm upate utajiri...Mimi mambo ya Mali za dawa/ ushirikina mwisho wake Huwa ni mbaya sanaa refer yule pedjeshe wa ki Botswana na kina chief godlove
😹😹😹 Dah!Kazi utafanya sema kwa udogo ila mafanikio mengi, kwa mfano utaambiwa ufungue biashara mfano ya kuuza karanga ila jioni ukipiga mahesabu pesa ni nyingi mno, biashara itapamba moto
Mfano hiyo ya nyoka kwenye kibegi, unapewa nyoka mdogo umuweke kwenye ki hand bag chako uwe nacho mda wote kwenye biashara yako
Na pesa zako za biashara uwe unaziweka humo ila huyo nyoka uwe unamzingatia chakula, kumbuka ni kajinyoka kadogo sanaa
Biashara ndogo pesa nyingi.. nielewe kazi utafanya tu
Muoga sana wewe ndicho nilichogundua, utajiri hautaki mtu muoga, u must risk.. kama unataka kuwa juu😹😹😹 Dah!
Hii ukipeleka Netflix utauza sana..!!
Loooh shida zote hizo za nini!!Sema ni za uhakika
Hiyo ya nyoka,, unabidi uwe na mke wako huyo nyoka usiku anakuwa anamlamba mwanamke wako sehemu za siri mpaka anaporidhika na usiku utaenda kumtoa anapolala utalala naye wewe kuanzia saa 8 mpaka saa 10 tu usiku/alfajir then unamrudisha anapokaa
Wapo wanapewewa utamu na kulipwa😂😂😂Bila kuvuja jasho sahau kupata pesa..!!
Nionyeshe mtu tajiri ambaye hajafanya kazi.
Sasa maafisa utramu nao si wanavuja jasho..!! Ile shuhuli mchezo halafu unakutana na mtu wowote..!! 😹😹😹Wapo wanapewewa utamu na kulipwa😂😂😂
Story za jaba hizo peleka kwa lamata..!!😹😹Muoga sana wewe ndicho nilichogundua, utajiri hautaki mtu muoga, u must risk.. kama unataka kuwa juu
Unayaogopa mabilioni wewe…Story za jaba hizo peleka kwa lamata..!!😹😹