Mwanauke: Mbinu za kupata utajiri usioyumba [Kushuka yaani ni Kupanda tu hadharani]

Mwanauke: Mbinu za kupata utajiri usioyumba [Kushuka yaani ni Kupanda tu hadharani]

Wanapumbaza sana watu hawa manabii… na mitume wa zama hizi
 
Mali za ndagu mwisho wake ni mbaya, ipo siku utavunja shart.

Safisha mwili kwa maombi au dawa.
Kweny biashara tafuta mganga akutengenezee NGOGO(kwa kisukuma),

Hii huvuta wateja kwa kasi na kulinda mali zako.
Utakula utalala bila mashart.

Achaneni na ndagu mtakufa vibaya
 
Kumbe wajinga wengi! Ona huyu pia Labella ndiyo maana anajiita am real PhD, angesema am a PhD holder
Nikwambie kitu wewe na ukoo wako wote yaani MJIJUMLISHE WOTEEEEEEE

Hamna kitu chochote yaani chochote mnacho nizidii kwenye all sphere of life.

Kwanza unapata favor/bahati kuchat au kujibu comment zako.
 
Hongera sana. Kazi yangu ni kukupa ukweli wako! Nimekamilisha
 
Hapo kigoma, kuna wataalamu wanatoa dawa/tiba za utajiri

Nakuhakikishia utakuwa juu miaka yote ukifata masharti, binafs nilikataa utajiri wa hivyo

Wanawake/wanaume

Nyoka
Kuoza
Sanduku
Kulala chini
Kutembea peku
Kufa kwa siku 3
Kufuga watu kwa miujiza/sukule
Kijoka kwenye kibegi

Upo tofauti tofauti, njia zipo nyingi hapo sijazielezea
Kigoma
 
Apo kwenda kwa mganga mambo sndo yaleyale mkuu
Mali za ndagu mwisho wake ni mbaya, ipo siku utavunja shart.

Safisha mwili kwa maombi au dawa.
Kweny biashara tafuta mganga akutengenezee NGOGO(kwa kisukuma),

Hii huvuta wateja kwa kasi na kulinda mali zako.
Utakula utalala bila mashart.

Achaneni na ndagu mtakufa vibaya
E
 
Mimi na vingi vya kuonyesha niliviomba pale...japo sisali pale ila mara ELFU niende kwa mwamposa ibadani kawe nikiwa na Imani na SADAKA YaNGU kuliko kwenda kwa waganga wa Dunia
Mwaiposa tusipoenda kanisani atayumba kwani? Si atakua kama mganga
 
Masharti machache wametuingiza shule ya utajiri

1780145248004.jpeg
 
Hapo kigoma, kuna wataalamu wanatoa dawa/tiba za utajiri

Nakuhakikishia utakuwa juu miaka yote ukifata masharti, binafs nilikataa utajiri wa hivyo

Wanawake/wanaume

Nyoka
Kuoza
Sanduku
Kulala chini
Kutembea peku
Kufa kwa siku 3
Kufuga watu kwa miujiza/sukule
Kijoka kwenye kibegi

Upo tofauti tofauti, njia zipo nyingi hapo sijazielezea
Hii kali ni kama anakuambia kufa kinamna - Tuwasifie waliona mbali

1780145498556.jpeg
 
Back
Top Bottom