Mwanauke: Mbinu za kupata utajiri usioyumba [Kushuka yaani ni Kupanda tu hadharani]

Wanapumbaza sana watu hawa manabii… na mitume wa zama hizi
 
Mali za ndagu mwisho wake ni mbaya, ipo siku utavunja shart.

Safisha mwili kwa maombi au dawa.
Kweny biashara tafuta mganga akutengenezee NGOGO(kwa kisukuma),

Hii huvuta wateja kwa kasi na kulinda mali zako.
Utakula utalala bila mashart.

Achaneni na ndagu mtakufa vibaya
 
Kumbe wajinga wengi! Ona huyu pia Labella ndiyo maana anajiita am real PhD, angesema am a PhD holder
Nikwambie kitu wewe na ukoo wako wote yaani MJIJUMLISHE WOTEEEEEEE

Hamna kitu chochote yaani chochote mnacho nizidii kwenye all sphere of life.

Kwanza unapata favor/bahati kuchat au kujibu comment zako.
 
Nikwambie kitu wewe na ukoo wako wote yaani MJIJUMLISHE WOTEEEEEEE

Hamna kitu chochote yaani chochote mnacho nizidii kwenye all sphere of life.

Kwanza unapata favor/bahati kuchat au kujibu comment zako.
Hongera sana. Kazi yangu ni kukupa ukweli wako! Nimekamilisha
 
Kigoma
 
Apo kwenda kwa mganga mambo sndo yaleyale mkuu
E
 
Mimi na vingi vya kuonyesha niliviomba pale...japo sisali pale ila mara ELFU niende kwa mwamposa ibadani kawe nikiwa na Imani na SADAKA YaNGU kuliko kwenda kwa waganga wa Dunia
Mwaiposa tusipoenda kanisani atayumba kwani? Si atakua kama mganga
 
Masharti machache wametuingiza shule ya utajiri


 
Hii kali ni kama anakuambia kufa kinamna - Tuwasifie waliona mbali


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…