Mwanauke: Mbinu za kupata utajiri usioyumba [Kushuka yaani ni Kupanda tu hadharani]

Apo kwenda kwa mganga mambo sndo yaleyale mkuu

E
hapana NGOGO hii inaunafuu, haina masharit sema bei yake ni sawa na mtaji ila biashara itapeta.
kuliko kulala na nyoka mala chini unakuwa huna raha na mali zako.

na mgogo huo hata wanao wakianzisha biashara zitapeta na watafanikiwa haraka.

NDAGU lazima hao watoto iwalambe chini. sijui unamtafutia nani hizo mali
 
Sawa mkuu, kumbe kuna nguvu kwenye sadaka
 
Jiulize ati mtu akutajirishe wewe wakati yeye ni kapuku!
Hiyo haipo nakataa..!!
Bila kujituma na kuwa na nidhamu ya pesa utajiri haupo..!!

Hao waganga wengi wanapatikana mikoa maskini Tanzania hushangai? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Ushawahi sikia kuna mganga bingwa kutoka Moshi? ๐Ÿ˜น

Hao waganga wa Kigoma wangeanza kuutajirisha mkoa wao kwanza utoke kwenye 3 bora ya umaskini..!!
 
Duh! Hizi mbinu ni ngumu kumeza aisee ๐Ÿค”
 
Twende ukathibitisheโ€ฆ unaonekana kabsa muoga wewe ila unajua kabsa utajiri wa hivyo upo ila umejawa na wasi wasi tu.. utaishi maisha ya hivyo mpaka lini
Sina wasiwasi ila utajiri wa ghafla haupo..!!
Tajiri gani alipata pesa bila kufanya kazi? Nitajie.

Nakwambia hivi hakuna mtanzania anayependa umaskini. Km kweli hizo dawa zipo watanzania wote tungekuwa matajiri..!!
 
Duh! Hizi mbinu ni ngumu kumeza aisee ๐Ÿค”
Sema ni za uhakika

Hiyo ya nyoka,, unabidi uwe na mke wako huyo nyoka usiku anakuwa anamlamba mwanamke wako sehemu za siri mpaka anaporidhika na usiku utaenda kumtoa anapolala utalala naye wewe kuanzia saa 8 mpaka saa 10 tu usiku/alfajir then unamrudisha anapokaa
 
Sina wasiwasi ila utajiri wa ghafla haupo..!!
Tajiri gani alipata pesa bila kufanya kazi? Nitajie.

Nakwambia hivi hakuna mtanzania anayependa umaskini. Km kweli hizo dawa zipo watanzania wote tungekuwa matajiri..!!
Kazi utafanya sema kwa udogo ila mafanikio mengi, kwa mfano utaambiwa ufungue biashara mfano ya kuuza karanga ila jioni ukipiga mahesabu pesa ni nyingi mno, biashara itapamba moto

Mfano hiyo ya nyoka kwenye kibegi, unapewa nyoka mdogo umuweke kwenye ki hand bag chako uwe nacho mda wote kwenye biashara yako

Na pesa zako za biashara uwe unaziweka humo ila huyo nyoka uwe unamzingatia chakula, kumbuka ni kajinyoka kadogo sanaa

Biashara ndogo pesa nyingi.. nielewe kazi utafanya tu
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Dah!
Hii ukipeleka Netflix utauza sana..!!
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Dah!
Hii ukipeleka Netflix utauza sana..!!
Muoga sana wewe ndicho nilichogundua, utajiri hautaki mtu muoga, u must risk.. kama unataka kuwa juu
 
Loooh shida zote hizo za nini!!
 
Wapo wanapewewa utamu na kulipwa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Sasa maafisa utramu nao si wanavuja jasho..!! Ile shuhuli mchezo halafu unakutana na mtu wowote..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Halafu hakuna afisa utramu tajiri ๐Ÿ˜น
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ