Mwanaume 45+

Mh, kila la kheri
 
Ukipata hao 45+ unmarried (ndoa ya aina yoyote ile) nipasiena mimi!
 
Kwa age hyo c ndo risk ya kupata watoto wenye congenital anomalies
BBC wametangaza utafiti, watoto waliozaliwa na baba wa umri mkubwa ni werevu zaidi ya wenye baba vijana... habari ya mjini wazee [emoji445][emoji444] "vibabu wako juu, backed up by a valid research
 
Kweli kabisa!!! Mimi nataka mwanaume anipite kuanzia miaka mitano kwenda juu!!! Ata ikiwa gepu la miaka 30 sawa tu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…