Mwanaume acha uoga wa maisha

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hakuna mtu anaitwa'mfuasi wa ndoa' wewe kama ndoa ilikushinda acha kuogopesha watu eti kataa ndoa,kubali kwamba umeshindwa wewe,matukio mawili matatu kwa nchi nzima ndio yaogopeshe watu kuoa,haya tusipooa kizazi kitaendeleaje?
 
Kuoa tunaoa mkuu sisi tunachokataa ni ndoa , ndoa ni utapeli KIJANA KATAA NDOA ishi na mwanamke akizingua piga chini haraka
 
Ume Nena mkuu Ila ukali wa maneno umezidi
 
CR7 hajaoa, Elon Musk hajaoa, Bezo hajaoa, Cena hajaoa, DiCaprio hajaoa, Simba hajaoa, Aliko Dangote hajaoa

wewe mchimba chumvi wa Vikindu ndiyo wa kuona umuhimu wa ndoa ?
Kuoa Ni Upumbavu, Tafuta Pesa mzee

Oya cio poa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…