Peril22
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 1,710
- 2,951
Aiseee, umemaliza mkuu.Watu warudi kwenye maadili, hususani mabinti,, Tamaa zitawamaliza.
Hakuna kijana mwenye akili timamu na aliridhia kupata mtoto kisha akimbie hata Kama maisha yamekuwa magumu vipi!
Mabinti wengi wanatumia mtoto Kama kigezo cha manyanyaso dhidi ya wanaume.
Maisha ya miaka mitano ijayo wanataka wayaishi sasa hivi! MABINTI TULIZENI BICHWA ZENU HIZO!
Zamani nilikuwa nalaani sana kitendo cha mtu kukimbia mimba ila kuna mahali mtoto wa mtu amenifikisha nikahisi kuchizi mchana kweupe.
Yani naomba miezi iende haraka ajifungue nimchukue mtoto wangu hata akiwa na miezi miwili tu nitajua naishi nae vipi kulalake.