Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakikataa badilisheni Ubin wala msiwaonee/msituonee huruma.
Mtoto kiasili atakuwa wa kwake lakini kimamlaka na kiubin hatakuwa wake.
Wapo watoto wengi wanaotumia Majina ya Upande wa mama.
Soma uelewe, mwandishi ameongelea wanaokataa, mimba na kulea watoto!! Unadhani huyo aliekataa mtoto ndio akiwa tajiri atamkubalii?? Ukiona katajirika anafuata mtoto ujue anatafuta sadaka ya kutoaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hii Dunia ina mambo mengi sana yaliyojifichaaUnaweza kufanya hivyo kwa kumuandikisha surname nyingine.
Then mbeleni baba yake akawa tajiri mkubwa then akafariki.
Kwenye mirathi mtoto akakosa haki zake na kukulaumu mama yake kwa ulichofanya
Very true....anatafuta sadaka [emoji848][emoji848]Soma uelewe, mwandishi ameongelea wanaokataa, mimba na kulea watoto!! Unadhani huyo aliekataa mtoto ndio akiwa tajiri atamkubalii?? Ukiona katajirika anafuata mtoto ujue anatafuta sadaka ya kutoaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hii Dunia ina mambo mengi sana yaliyojifichaa
Wanaume badilikeni basi
Baba kumkataa au kumtelekeza mtoto haimnyimi mtoto huyo haki ya kuwa na baba peke yake. Inamnyima mtoto pia haki ya kupata baraka za baba yake
Kiimani na desturi baraka hutamkwa na mkondo wa baraka unatoka kwa baba. Sisemi kwamba asipotamka baba mtoto habarikiwi, baraka zipo lakini sio za baba
Haya siku mtoto akikuuliza baba yake nani? Usemeje ?
Jina la ubin lina umuhimu gani?
Kuna watu wana majina fake kwa ajili ya kazi aidha walifoji vyeti lkn hawaathiriki nayo.
Mpe mtoto haki yake hahusiki na mambo yenu yamuelea au kutolea
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Kosa halihalalishwi kwa kosaMbona Baba hukumpa mtoto haki zake?
Wengine hatuamini katika baraka kutoka Kwa wazazi.
Baraka hutokana na wajibu
Kuna wamama ,wadada wana roho ya kipekee hata akataliwe vipi ndo kwanzaa anapachika majina yote hadi la ukoo wa aliyekataa mimba
Lkn uhalisia moto hauzimi motoDawa ya Moto ni Moto
Nmekusoma vizur mkuu,Una hoja ya msingi Sana.
Ila Hapo kwenye kumpa mtoto jina la ubini usiokua wake umepuyanga.
Unamnyima mtoto Haki yake ya msingi ya original Yake kwa upumbavu wa wazazi wake wote wawili.
Siku hizi taifa linapitia pagumu Sana .
Kila mtu ni mtoa maoni mitandaoni..
Hivi umpokonye mtu damu yake/mtoto wake kisa hakukupa pesa za kulipia vikoba?
Taifa linazidi kupata watu wa hovyo kabisa.
Sasa usipoandika jina la baba kwenye kadi ya mtoto inafuta ukweli kuwa ile ni mbegu yake?!
Hizo jazba za kitoto. Lazima mtoto amjue baba yake hata kama hawajibiki.
Ukiona taifa kunakuwa la hovyo jua Sisi wanaume ndio wahovyo Kwa sababu ndio wenye jukumu la kuitawala na kuitiisha hii dunia.
Jina halibadili Damu.
Wapo wengi mimi rafiki yangu alienda hadi kwa joyce kiria baada ya kusikia mdada kabadili ubin wa mwanae.🤣🤣🤣🤣
Wapo wanaolazimisha Mkuu.