Mwanaume akiwa hivi mimi Hoi

Nyie si ndio mliosema kwamba sisi " wanaume weuse, warefu, wembamba (dark, tall and handsome) pepo ni ya kwetu [emoji848] hawa wengine liwakute lolote jambo, sio nyie mliosema hivyo?

Wewe tena umekuja na lako, mbona mnatuchanganya jamani..!!?
 
Tuvulana twa siku hizi hatuna hizi sifa... Tunakaa kujisifia tu ujinga na tunafikiri wanawake wote wanashida na pesa... Tunalamba lamba tu lips. Mimi mwanaume miaka ya nyuma nilikuwa nampima pia kwenye ulaji wake. Kama anakula kamsosi kama ka mtoto au msichana hata sitotaka kutoka naye out tena. Mi nakula... Na mazoezi nafanya sina kitambi. Chakula kinaenda maeneo yake stahili.


Mkuu hapo umetuchanganya sana kuhusu jinsia yako ndugu yangu?
 
Wakati huo mwanaume anakuja na mazaga zaga yote hayo uliyotaja

Wewe una nini na nini cha ku-offer?
Wanawake mkitongozwa na wanaume wengi kila siku, mnahis mnaeza pata aina yoyote ya mwanaume mnaemtaka, ndo maana mnaweka vigezo kibao 🀣 Joanah
 
Mwili utajengekaje mtu ana kitambo? 😁😁
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hao wanajikuta ma independent woman..ngoja siku wakijua hela unayopewa na mpenzi wako ilivyotamu,imetoka kwenye wallet,kwanza Hadi inanukia kiharufu kizuriiiiii sio Kama ya vikoba inanukia maandazi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ya mwanaume tamu unaichukua unaitumia unavyotaka haiumi, ya vicoba sasa machungu ya kupanda hisa na marejesho hamu yote inakata ya matumizi
 
Imagine unaambiwa baby hebu chukua hii ya mahitaji yako πŸ˜€πŸ˜€famasihara nini
Wanawake mko tofauti sana na sisi, sijui mkoje, yaani mna-fantasize kabisa kupewa hela na mwanaume..

mfano eti kama mm ni-fantasize kupewa hela na mke ntakaemuoa, badala ya ku-fantasize akiwa uchi atakuaje, mbona ajabu hii Amehlo Joannah Leejay49
 
Funga Omba Omba kwa Mungu.Ili apate mume sahihi.Ruhusu mpango wa MUNGU ufanye kazi sio wewe mwanadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…