mnyandzombe
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 245
- 194
Mwanaume hashindwi jambo hasa kama kaamua. Wewe mkubali halafu uone kama vumbi halijatimuka. Hao wengine unajua imechukua muda gani kuwapata. Yamkini ni zaidi ya hata hiyo miaka miwili ya kwako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila iyo kaka ameanz akunifatilia miaka miwili Mpk Sasa ajakata tamaa Yan anawapenz wake lakn Bado akili yake inaniwaza Mimi nashindwa kuelewa nahisi ni tamaa TU ingawa yeye anasema eti ananipenda
[emoji17][emoji17] Moment of silence for this poor unfortunate soulMaana Kuna mkaka anaifatilia mwaka wa pili Sasa lakn sijamkubali analalamika ananipenda lakn Cha ajabu ana mwanamke wake wameshazaa na wanaishi sogoea tukae lakn Sasa mi nashindwa kumkubali kwasabbau ana mahusiano yake.
Sasa najiuliza huyo ananipendaje kwa mfano kama sio tamaa?? Kwasasa mwanamke wake amesafiri yeye ananiambia eti nisichezee bahata yeye Bado hajaoa lakn ushaur wenu maana moyo Wangu unasita kumkubali
Ndio maanayakekwahiyo totoo jana umeshinda hapa ukijikojolea tu [emoji38]
Kw taarifa Yako mapenzi AYANA formula kijana kuzaa na MTU na kuishi nae sogea tuishi usizani ndo atakua mkewe mwanaume anaweza kumzalisha MTU na kuishi nae sogea tukae miaka Kumi na Bado hamuoi Yani kuzaa na MTU na kuishi nae sio kumpenda acha kukariri wewe wangap wamezaa na wameoshi na wanaume lakn mwanaume anaenda kuona mdada mwingine kabisa tofauti na uyo Alie zaa Nae ayo mambo yapo mbona kila mtu ma Bahar yake kuzaa na MTU sio kwamba ndo atakuuoa Apana wacha kukariri mwanaume anaeeza kuzaa na mwanamke na asimuoe na mapenzi yake yanakua kw mtu mwingine na kuusu ngonjera zake nasikiliza sana TU Mpk ngoma za masikio zipasukiane my waangu
Roho mbaya tu hizo umeandika nini jamani na kuna vitoto vya chuo vinapita kusoma mada mbalimbali jf unataka uvi brainwash kwa kupandikiza hizi chuki za uongo
Kweli kw uzuri nimemzidi mbali uyo sogea tukae ndo mana bwanake moyo unatetema Kila anionapo
We Hanna wewe
Mmmh mbona unanisema mimi Mkuu! Kuna mdada namtaka hii wiki ya tatu toka nianze wasiliana naye. Aseee nina kiwewe kweli kweli na yeye kishajaa tayari ni mwendo wa kutumiana zile Gifs zetu za mambo yetu yale. [emoji28][emoji28]. Nikimla ndiobnitajua nampenda au zilikuwa nyege
Moja mbili tatu nateleza kama nyoka [emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila iyo kaka ameanz akunifatilia miaka miwili Mpk Sasa ajakata tamaa Yan anawapenz wake lakn Bado akili yake inaniwaza Mimi nashindwa kuelewa nahisi ni tamaa TU ingawa yeye anasema eti ananipenda
Mi mchoyo wa mbususu nae anasema eti atanioa lakn mpk nimepe mbususu NAMI nimegoma kumpa kabisa Kwaio saiv Kila siku ananisifia ooh we dada tabia zako nzur sana
Ndo mana waswahili wanasema uslilie uzuri lilia bahat my wangu kuzaa na MTU sio kuolewa watu wanazalishwa na wanaachwa anaolewa mwingine kabisa Kwaio kama mungu kanipangia nitaolewa na kama sio rizki yangu basi Asante kw ushauri
jambooNdio maanayake
KaribuMdada wa fesibukuu ndani ya jamiiforamuuu new memba[emoji23][emoji23][emoji23]
Mi sio mgeni humu Nipo tangu 2015 SEMA nilikua napenda kusoma TU story za umu sikuwa nimefungua account Kwaio nilikua napitia story zenu google TU sikuamua kufungua accountMdada wa fesibukuu ndani ya jamiiforamuuu new memba[emoji23][emoji23][emoji23]
Hhahahaa usijifanye unamjua uyo MTU saaana ao wamezalishana mwaka Jana hawana ata miaka mingi kama unavo jimwambafy na kwataariga Yako dini yetu inaruusu kuona wake 4 Kwaio punguza makasiriko apoHivi unajuaje kama anakuwaza wewe??? Ndio anakwambiaga hivyoo??
Hivi mnapata wapi ujasiri wa kumsemea mtu et akili yake inaniwaza mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi wewe ni mgeni wa wanaume au…
Hizi akili ni zako au ameshakurogaa
Hivi unapata wapi muda wa kuchart na kumsiliza mwanaume ambae anaishi na mwanamke na wamezaa
Toto
Yaani anakusimamisha unasimama kabisaa
Yaani akili yake inakuwaza wewe huku anamkojoza mkewe mpk wanazaaa
Kinachokusumbua unaamini kwamba kwakuwa hajamuoa et anauwezo wa kumuacha akakuoaa wewe[emoji2][emoji2]
Unafikiri kuachana na mtu umeishi nae miaka na miaka mpk mmezalishana familia zinajuana ni rahisii hivyoo
Na kuusu uwezi wa kumuacha kw Hilo ni maamuzi ya mwanaume usizani MTU akizalishwa ndo anaolewa na uyo Alie zaa Nae wangap wamezalishwa na kuachwa anaolewa mwingine kabisa mapenzi AYANA formula na kuusu ujasiri wa kumskikiliza namsikiliza vzr TU Kwan maneno ni sumu yanaua??? Kama maneno yake ayaui na ayanitoi ngozi Wala kunibabua Sasa makasiriko ya nn?? Pia dini yetu ryksa wake 4 Kwaio usijifanye ww mjuaji sana na Cha mwisho akuna mwanaume wa mwanamke Mmoja Cha pekeyako kaburiHivi unajuaje kama anakuwaza wewe??? Ndio anakwambiaga hivyoo??
Hivi mnapata wapi ujasiri wa kumsemea mtu et akili yake inaniwaza mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi wewe ni mgeni wa wanaume au…
Hizi akili ni zako au ameshakurogaa
Hivi unapata wapi muda wa kuchart na kumsiliza mwanaume ambae anaishi na mwanamke na wamezaa
Toto
Yaani anakusimamisha unasimama kabisaa
Yaani akili yake inakuwaza wewe huku anamkojoza mkewe mpk wanazaaa
Kinachokusumbua unaamini kwamba kwakuwa hajamuoa et anauwezo wa kumuacha akakuoaa wewe[emoji2][emoji2]
Unafikiri kuachana na mtu umeishi nae miaka na miaka mpk mmezalishana familia zinajuana ni rahisii hivyoo
Acha makasiriko akuna wanaume wa mwanamke Mmoja dini inaruusu wake 4 Kwaio tuliza komwe Hilo nimpende nisimpende ni juu yanguWewe umeshampenda huyo kaka ndio maana umeleta hiyo mada
Kama ungekuwa hujampenda hata usingehangaika nae wangapi wamekutongoza hujaleta mada zAo
Kama hujampenDa husingesema MPenzi hayana formulA hapo bi dada ushanasa
Kingine usikariri et kwamba sogea tuishi wote huwa hawaolewi
Ushauri wangu achana na huyo mwanaume hupendwiiiiii
Narudia tena hakupendiiiii hupendwiiii
Kwanza angekuwa anakupenda angekuwa kamuacha huyo mwanamke anaeishii nae et miaka miwili anakutongoza na bado anaishi na huyo mdada mpk wamezaaa
Wewe dada amka kwenye huo usingiziiiii unapotezaa muda wako
Mwanaume mwenye nia na wewe hata kama angekuwa anaishi na mwanamke wa sogea tuishii usingejuaaa
Huyo hakupendii
Ubaya ni kuwa unajua kabisa anaishi na mwanamke na wamezaa mtoto bado unajiulizauliza et ananipendaaa una wazimu nini???
Huyo kijana unampendaa ndio maana umeleta story yake narudiaa tena hakupendiii anataka akulale akuachee na hata kama hampendii huyo anaeishii nae usifikiri akimuacha atakuoaaa labda urogeeeeee
Bibieeee mara 10000 ungekuwa hujui kama ana mwanamke wanaishii wotee
But umejuaaa achanaa na huyo mwanaumeee wa watuu
Umri Wangu haukuusu tuliza komwe HiloHivi upo serious kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseee ww upo chini ya 24 ama [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kw taarifa Yako hajaoa amemzalisha TU na hana mkr kisheria yupo huruma kuona yoyoteMmmmmmmmh mbona hajakuoa sasa kama umemzidi mke wake uzurii
Mwambie amuachee mkewe akuoe wewe
Unaonekana una roho mbaya sanaa