Mwanaume akizama kwenye dimbwi la mapenzi anakuwa na tabia gani?

Mimi Bado sijamkubali moyo wangu hautaki kumkubali yeye ndo Bado ananibembeleza ila moyo wangu umekua mgumu kabisa ni miaka miwili Sasa ajachoka kuniapproach
 
Utofautishe upendo na uteja wa mapenzi hivi vinataka kufanana kimoja udumu
 
Jaribu uone Utakavyopigwa na kitu kizito.
 
Mimi Bado sijamkubali moyo wangu hautaki kumkubali yeye ndo Bado ananibembeleza ila moyo wangu umekua mgumu kabisa ni miaka miwili Sasa ajachoka kuniapproach
Huyo hakufai, niamini mimi... Kuna mwamba mmoja alimfukuzia dada angu (family friend), tokea 2015 mpaka 2020 (wakati wa korona).
Alipopata utalezi huwezi amini mpaka leo huyo dada anajilaumu kuigawa bikra yake kizembe
 
Mambo zenu, naimani mko poa! Naombeni mnambie mwanaume akimpenda mwanamke anamtreat vipi yaani nataka kujua mwanaume akiwa in love na mwanamke anakuaje tabia zake??
The real meaning ya "Sky is the limit" ndio utaiona hapo.

We will move the mountains, kumfanya awe comfortable.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…