malikia balqiis
Senior Member
- Apr 28, 2023
- 118
- 189
- Thread starter
-
- #101
Usilolijua mapenzi hayana formula unaweza kujiona unaakili nyingi lakn napo mapenzi yakakutesa mapenzi yanawatesa Mpk mabilionea sembuse mie ??? Kaa ukijua mapenzi AYANA formula ndugu yangu pia mwanaume anaweza kumzalisha MTU na kuishi nae sogoe tuishi na asimpende akaja kuona mwingine ayo mambo yapo sana mbona ao sogea tuishi waga wanaachwa muacho mbaya anaolewa mwingine ambae ajawai ata kuishi nae Kwaio wanaume hawatabiriki my wanguAkili zenu mnazijua wenyewe, aisee[emoji23][emoji23][emoji23]. Kwaiyo huoni logical error kwenye mawazo yako[emoji23][emoji23][emoji23]
Anakudanganya huyo aiseeMaana Kuna mkaka anaifatilia mwaka wa pili Sasa lakn sijamkubali analalamika ananipenda lakn Cha ajabu ana mwanamke wake wameshazaa na wanaishi sogoea tukae lakn Sasa mi nashindwa kumkubali kwasabbau ana mahusiano yake.
Sasa najiuliza huyo ananipendaje kwa mfano kama sio tamaa?? Kwasasa mwanamke wake amesafiri yeye ananiambia eti nisichezee bahata yeye Bado hajaoa lakn ushaur wenu maana moyo Wangu unasita kumkubali
Ha ha ha...[emoji16]Mwanaume anaekupenda kwa dhati siku zote anakuwa haeleweki.. ukiona umemuelewa mwanaume wako jua hayo mahusiano yenu yatavunjika muda si mrefu
Kw taarifa Yako mapenzi AYANA formula kijana kuzaa na MTU na kuishi nae sogea tuishi usizani ndo atakua mkewe mwanaume anaweza kumzalisha MTU na kuishi nae sogea tukae miaka Kumi na Bado hamuoi Yani kuzaa na MTU na kuishi nae sio kumpenda acha kukariri wewe wangap wamezaa na wameoshi na wanaume lakn mwanaume anaenda kuona mdada mwingine kabisa tofauti na uyo Alie zaa Nae ayo mambo yapo mbona kila mtu ma Bahar yake kuzaa na MTU sio kwamba ndo atakuuoa Apana wacha kukariri mwanaume anaeeza kuzaa na mwanamke na asimuoe na mapenzi yake yanakua kw mtu mwingine na kuusu ngonjera zake nasikiliza sana TU Mpk ngoma za masikio zipasukiane my waanguUme-panic.
Shida ipo hapa kwanini kuendelea kusikiliza ngonjera zake hali ya kuwa unajua ana mahusiano na mwanamke mwenzako tena wana mtoto na ndoa hawajafunga?
Je!lipi dhumuni lako kuendelea kumsikiliza,unategemea atakupa nini cha ziada?sisi wanaume tukishaona mwanamke ana bwana kisha akakubali turuke nae huyo kwetu tunamuona kama choo cha stand tunatumia tunaacha sasa ktk kesi yako hii huyo bwana unaendelea kumsikiliza unadhani utakapomkubali atakupa ndoa?je ana wangapi amewadanganya kama wewe na baby mama wake?amsha akili hiyo!
Ukipata Mwanaume asiye na tamaa atakua Ni shoga uyo, kimbia nduki[emoji4]Maana Kuna mkaka anaifatilia mwaka wa pili Sasa lakn sijamkubali analalamika ananipenda lakn Cha ajabu ana mwanamke wake wameshazaa na wanaishi sogoea tukae lakn Sasa mi nashindwa kumkubali kwasabbau ana mahusiano yake.
Sasa najiuliza huyo ananipendaje kwa mfano kama sio tamaa?? Kwasasa mwanamke wake amesafiri yeye ananiambia eti nisichezee bahata yeye Bado hajaoa lakn ushaur wenu maana moyo Wangu unasita kumkubali
Kweli kw uzuri nimemzidi mbali uyo sogea tukae ndo mana bwanake moyo unatetema Kila anionapoBasi hapo kwenye nafsi unajiona mzuri kuliko mkewe hata km ni sogea tukae ila ni mkewe[emoji23][emoji23]
Wazuri wote wameolewa,Kweli kw uzuri nimemzidi mbali uyo sogea tukae ndo mana bwanake moyo unatetema Kila anionapo
Eeh dada nenda na wewe kajaribu bahati yako usije ukaona nakuzibia bure.Kw taarifa Yako mapenzi AYANA formula kijana kuzaa na MTU na kuishi nae sogea tuishi usizani ndo atakua mkewe mwanaume anaweza kumzalisha MTU na kuishi nae sogea tukae miaka Kumi na Bado hamuoi Yani kuzaa na MTU na kuishi nae sio kumpenda acha kukariri wewe wangap wamezaa na wameoshi na wanaume lakn mwanaume anaenda kuona mdada mwingine kabisa tofauti na uyo Alie zaa Nae ayo mambo yapo mbona kila mtu ma Bahar yake kuzaa na MTU sio kwamba ndo atakuuoa Apana wacha kukariri mwanaume anaeeza kuzaa na mwanamke na asimuoe na mapenzi yake yanakua kw mtu mwingine na kuusu ngonjera zake nasikiliza sana TU Mpk ngoma za masikio zipasukiane my waangu
VP kwn??Member since April 28,2023 [emoji4]
Akuna mbaya duniani kw mungu sote ni wazur tunazidiana TU my wangu aliekudnaganya wazur wameolewa ni Nan ??? Sasa kama ulikua ujui wazur ndo hawajolewaWazuri wote wameolewa,
Hayo majina ya my waachie wazungu, kuna dada na kaka. Kwahiyo kama hayana formula ndio ukimbilie kule ambapo hatari itokapo. Duh! ππππ mmesomeshwa lakini bado hamtaki kuelimika. Sasa kama na wewe akakuchagua akamuacha wa kwanza ila akakuona nawewe pia hakupendi vicious cycle iendelee tuππ. Tutazalisha kizazi kikubwa cha uhuni na wanawake empowerement kuwa a total failure. Reason sister,aiseeππUsilolijua mapenzi hayana formula unaweza kujiona unaakili nyingi lakn napo mapenzi yakakutesa mapenzi yanawatesa Mpk mabilionea sembuse mie ??? Kaa ukijua mapenzi AYANA formula ndugu yangu pia mwanaume anaweza kumzalisha MTU na kuishi nae sogoe tuishi na asimpende akaja kuona mwingine ayo mambo yapo sana mbona ao sogea tuishi waga wanaachwa muacho mbaya anaolewa mwingine ambae ajawai ata kuishi nae Kwaio wanaume hawatabiriki my wangu
Ndo mana waswahili wanasema uslilie uzuri lilia bahat my wangu kuzaa na MTU sio kuolewa watu wanazalishwa na wanaachwa anaolewa mwingine kabisa Kwaio kama mungu kanipangia nitaolewa na kama sio rizki yangu basi Asante kw ushauriEeh dada nenda na wewe kajaribu bahati yako usije ukaona nakuzibia bure.
Nimesoma nimeishia humo nilipo-bold sijaimaliza ya nini mwisho wa siku tutukanane wakati umeomba tu ushauri?
Nikajua Ni zile I'd mpya za wakataa ndoa[emoji4]VP kwn??
Ulipigwa na kitu kizito[emoji28]Uwiii sio yule aliyekuwaga Songea teaching college Sasa kahamia Mbeya? Ni muongo yule kaka anaweza kukufanya ukahiona unapendwaa Dunia nzima upo wewe tu kumbe kawapanga kila mkoa.Kimbia
Kina nan ao wakataa ndoa??Nikajua Ni zile I'd mpya za wakataa ndoa[emoji4]
Wahuni Sio watu wazuri[emoji4]Daaaaaaaaah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Je ww ambae ujaolewa nawe upO ktk kundi lipi my wangu ???Wazuri wote wameolewa,