Mwanaume akizama kwenye dimbwi la mapenzi anakuwa na tabia gani?

Akili zenu mnazijua wenyewe, aisee[emoji23][emoji23][emoji23]. Kwaiyo huoni logical error kwenye mawazo yako[emoji23][emoji23][emoji23]
Usilolijua mapenzi hayana formula unaweza kujiona unaakili nyingi lakn napo mapenzi yakakutesa mapenzi yanawatesa Mpk mabilionea sembuse mie ??? Kaa ukijua mapenzi AYANA formula ndugu yangu pia mwanaume anaweza kumzalisha MTU na kuishi nae sogoe tuishi na asimpende akaja kuona mwingine ayo mambo yapo sana mbona ao sogea tuishi waga wanaachwa muacho mbaya anaolewa mwingine ambae ajawai ata kuishi nae Kwaio wanaume hawatabiriki my wangu
 
Maana Kuna mkaka anaifatilia mwaka wa pili Sasa lakn sijamkubali analalamika ananipenda lakn Cha ajabu ana mwanamke wake wameshazaa na wanaishi sogoea tukae lakn Sasa mi nashindwa kumkubali kwasabbau ana mahusiano yake.

Sasa najiuliza huyo ananipendaje kwa mfano kama sio tamaa?? Kwasasa mwanamke wake amesafiri yeye ananiambia eti nisichezee bahata yeye Bado hajaoa lakn ushaur wenu maana moyo Wangu unasita kumkubali
Anakudanganya huyo aisee
 
Ume-panic.

Shida ipo hapa kwanini kuendelea kusikiliza ngonjera zake hali ya kuwa unajua ana mahusiano na mwanamke mwenzako tena wana mtoto na ndoa hawajafunga?

Je!lipi dhumuni lako kuendelea kumsikiliza,unategemea atakupa nini cha ziada?sisi wanaume tukishaona mwanamke ana bwana kisha akakubali turuke nae huyo kwetu tunamuona kama choo cha stand tunatumia tunaacha sasa ktk kesi yako hii huyo bwana unaendelea kumsikiliza unadhani utakapomkubali atakupa ndoa?je ana wangapi amewadanganya kama wewe na baby mama wake?amsha akili hiyo!
Kw taarifa Yako mapenzi AYANA formula kijana kuzaa na MTU na kuishi nae sogea tuishi usizani ndo atakua mkewe mwanaume anaweza kumzalisha MTU na kuishi nae sogea tukae miaka Kumi na Bado hamuoi Yani kuzaa na MTU na kuishi nae sio kumpenda acha kukariri wewe wangap wamezaa na wameoshi na wanaume lakn mwanaume anaenda kuona mdada mwingine kabisa tofauti na uyo Alie zaa Nae ayo mambo yapo mbona kila mtu ma Bahar yake kuzaa na MTU sio kwamba ndo atakuuoa Apana wacha kukariri mwanaume anaeeza kuzaa na mwanamke na asimuoe na mapenzi yake yanakua kw mtu mwingine na kuusu ngonjera zake nasikiliza sana TU Mpk ngoma za masikio zipasukiane my waangu
 
Maana Kuna mkaka anaifatilia mwaka wa pili Sasa lakn sijamkubali analalamika ananipenda lakn Cha ajabu ana mwanamke wake wameshazaa na wanaishi sogoea tukae lakn Sasa mi nashindwa kumkubali kwasabbau ana mahusiano yake.

Sasa najiuliza huyo ananipendaje kwa mfano kama sio tamaa?? Kwasasa mwanamke wake amesafiri yeye ananiambia eti nisichezee bahata yeye Bado hajaoa lakn ushaur wenu maana moyo Wangu unasita kumkubali
Ukipata Mwanaume asiye na tamaa atakua Ni shoga uyo, kimbia nduki[emoji4]
 
Kw taarifa Yako mapenzi AYANA formula kijana kuzaa na MTU na kuishi nae sogea tuishi usizani ndo atakua mkewe mwanaume anaweza kumzalisha MTU na kuishi nae sogea tukae miaka Kumi na Bado hamuoi Yani kuzaa na MTU na kuishi nae sio kumpenda acha kukariri wewe wangap wamezaa na wameoshi na wanaume lakn mwanaume anaenda kuona mdada mwingine kabisa tofauti na uyo Alie zaa Nae ayo mambo yapo mbona kila mtu ma Bahar yake kuzaa na MTU sio kwamba ndo atakuuoa Apana wacha kukariri mwanaume anaeeza kuzaa na mwanamke na asimuoe na mapenzi yake yanakua kw mtu mwingine na kuusu ngonjera zake nasikiliza sana TU Mpk ngoma za masikio zipasukiane my waangu
Eeh dada nenda na wewe kajaribu bahati yako usije ukaona nakuzibia bure.

Nimesoma nimeishia humo nilipo-bold sijaimaliza ya nini mwisho wa siku tutukanane wakati umeomba tu ushauri?
 
Usilolijua mapenzi hayana formula unaweza kujiona unaakili nyingi lakn napo mapenzi yakakutesa mapenzi yanawatesa Mpk mabilionea sembuse mie ??? Kaa ukijua mapenzi AYANA formula ndugu yangu pia mwanaume anaweza kumzalisha MTU na kuishi nae sogoe tuishi na asimpende akaja kuona mwingine ayo mambo yapo sana mbona ao sogea tuishi waga wanaachwa muacho mbaya anaolewa mwingine ambae ajawai ata kuishi nae Kwaio wanaume hawatabiriki my wangu
Hayo majina ya my waachie wazungu, kuna dada na kaka. Kwahiyo kama hayana formula ndio ukimbilie kule ambapo hatari itokapo. Duh! 😂😂😂😂 mmesomeshwa lakini bado hamtaki kuelimika. Sasa kama na wewe akakuchagua akamuacha wa kwanza ila akakuona nawewe pia hakupendi vicious cycle iendelee tu😂😂. Tutazalisha kizazi kikubwa cha uhuni na wanawake empowerement kuwa a total failure. Reason sister,aisee😂😂
 
Eeh dada nenda na wewe kajaribu bahati yako usije ukaona nakuzibia bure.

Nimesoma nimeishia humo nilipo-bold sijaimaliza ya nini mwisho wa siku tutukanane wakati umeomba tu ushauri?
Ndo mana waswahili wanasema uslilie uzuri lilia bahat my wangu kuzaa na MTU sio kuolewa watu wanazalishwa na wanaachwa anaolewa mwingine kabisa Kwaio kama mungu kanipangia nitaolewa na kama sio rizki yangu basi Asante kw ushauri
 
Uwiii sio yule aliyekuwaga Songea teaching college Sasa kahamia Mbeya? Ni muongo yule kaka anaweza kukufanya ukahiona unapendwaa Dunia nzima upo wewe tu kumbe kawapanga kila mkoa.Kimbia
Ulipigwa na kitu kizito[emoji28]
 
Back
Top Bottom