Ume-panic.
Shida ipo hapa kwanini kuendelea kusikiliza ngonjera zake hali ya kuwa unajua ana mahusiano na mwanamke mwenzako tena wana mtoto na ndoa hawajafunga?
Je!lipi dhumuni lako kuendelea kumsikiliza,unategemea atakupa nini cha ziada?sisi wanaume tukishaona mwanamke ana bwana kisha akakubali turuke nae huyo kwetu tunamuona kama choo cha stand tunatumia tunaacha sasa ktk kesi yako hii huyo bwana unaendelea kumsikiliza unadhani utakapomkubali atakupa ndoa?je ana wangapi amewadanganya kama wewe na baby mama wake?amsha akili hiyo!