Mwanaume ambaye hana pesa asioe

Sasa mkitaka wanawake wafanye majukumu yenu vipi na majukumu yao atafanya nani, hapa siongelei yale ya kimaumbile naongelea yale ya nyumbani, ambayo mnaweza kuyafanya ila hamtaki tu

Usiniambie eti watafanya wadada wa kazi hiyo kauli huwa mnaisema tu ila hamuimaanishi, maana baada ya muda mnaanza kulalamika kwamba wake zenu wamejisahau, kazi zote wamewaachia wadada wa kazi na wengine wanaenda mbali zaidi hadi kutembea na hao wadada

Halafu namshangaa sana mtu anayetolea mifano bibi zetu kana kwamba bibi zetu walikuwa wanafurahia kutwishwa mizigo yote hiyo, kumbe walikubali kwa vile tu tamaduni zote zilitungwa na wanaume, hivyo wao hawakuwa na sauti ya kupinga hayo
 
Na sisi wa afu tatu, tusemejeπŸ˜‚
 
Some ndo wako possessed na kale ka spot hole, some ain't giving a shit kupita kiasi.
 
Unajua kuijua tabia yako ni jambo moja na kuiacha ni jambo jingine yani wanaume wengi siyo kwamba hawazijui tabia zao mbaya ila kuziacha ndio hawataki, kwa mfano wanaume wasaliti au wanyanyasaji unadhani hawajui kwamba tabia zao ni mbaya wanajua ila hawako tayari kuziacha, kwa sababu wameshaaminishwa kwamba mwanamke ni kiumbe mvumilivu hata umkosee vipi atavumilia tu kwahiyo nao wanaendelea na hizo tabia wakijua kwamba wake zao wataendelea kuwavumilia tu
 
Kawaida mtu anapoambiwa ukweli anahisi ameonewa,ila unachokisema Ni sahihi Kbsa.
Wanaume wengi wa siku hizi Ni walaini Sana hawataki kutekeleza majukumu yao,kazi kuzalisha tu na kusepa( deadbeat fathers)
 
Kawaida mtu anapoambiwa ukweli anahisi ameonewa,ila unachokisema Ni sahihi Kbsa.
Wanaume wengi wa siku hizi Ni walaini Sana hawataki kutekeleza majukumu yao,kazi kuzalisha tu na kusepa( deadbeat fathers)
Ni wapumbavu ndiomana baadhi wanakimbia majukumu wanaenda kuolewa na mijimama au wanaume wenzao..!! Midume mizima na vipira vyao wanakimbia majukumu.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…