Mwanaume ambaye hana pesa asioe

Mwanaume ambaye hana pesa asioe

Wanaume wanacholalamika ni wanawake wengi siku hizi wanajiuza kwa kigezo cha kuhudumiwa, kumbe ni prostitution in disguise, married and unmarried, ukihitaji ngono ni hela yako tu. Katika tamaduni zetu bibi na mama zetu walienda shambani kulima na waume zao na wanachozalisha kinatumika na familia nzima , hili la wa kisasa kutaka kuhudumiwa kama walemavu ni nothing but prostitution in disguise, mume na mke wote wanatakiwa kuzalisha chakula, mavazi na shelter for the family.
Sasa mkitaka wanawake wafanye majukumu yenu vipi na majukumu yao atafanya nani, hapa siongelei yale ya kimaumbile naongelea yale ya nyumbani, ambayo mnaweza kuyafanya ila hamtaki tu

Usiniambie eti watafanya wadada wa kazi hiyo kauli huwa mnaisema tu ila hamuimaanishi, maana baada ya muda mnaanza kulalamika kwamba wake zenu wamejisahau, kazi zote wamewaachia wadada wa kazi na wengine wanaenda mbali zaidi hadi kutembea na hao wadada

Halafu namshangaa sana mtu anayetolea mifano bibi zetu kana kwamba bibi zetu walikuwa wanafurahia kutwishwa mizigo yote hiyo, kumbe walikubali kwa vile tu tamaduni zote zilitungwa na wanaume, hivyo wao hawakuwa na sauti ya kupinga hayo
 
Ni mara chache sana mwanaume inatokea kaoa mwanamke sababu ya pesa zake, kwa upande wangu sijawahi kuwa na mwanaume anayenipendea hivo hata ex wangu valentine nilitaka kumpa zawadi aligoma katakata, badala yake akanipa mimi..!!
( Nilihisi kweli huyu ni mwanaume kamili)

Turudi kwetu wanawake, sisi tunaweza kukupenda wewe pamoja na pesa zako… pesa na mwanamke ni mapacha huwezi kuvitenganisha, sababu mwanamke anhisi amani akiwa na mume lkn na huyo mume akiwa anampa pesa ndio anazidi kuhisi yupo sehemu salama.!!
Na sisi wa afu tatu, tusemeje😂
 
Tatizo watu hawataki kuelewa au sijui ni ubishi tyuu.!! Iko hivi kama vile mwanaume ni ngumu kumtenganisha na kipochi manyoya vivo hivyo na wanawake huwezi kuwatenganisha na pesa..!! Hapo sasa kila mmoja ni “kula kutokana na urefu wa kamba yake.”
Some ndo wako possessed na kale ka spot hole, some ain't giving a shit kupita kiasi.
 
Nawezaje kuwa na tabia mbaya bila kujua hii ni tabia mbaya na natakiwa kuacha sababu tuu sasa hivi nipo na Mwanamke nina ishi naye na siyo tena bachelor. Unajua ukisha jielewa huna haja ya kuambiwa hicho kibaya acha na hicho kizuri sawa. Ni kujielewa na kuamua tuu
Unajua kuijua tabia yako ni jambo moja na kuiacha ni jambo jingine yani wanaume wengi siyo kwamba hawazijui tabia zao mbaya ila kuziacha ndio hawataki, kwa mfano wanaume wasaliti au wanyanyasaji unadhani hawajui kwamba tabia zao ni mbaya wanajua ila hawako tayari kuziacha, kwa sababu wameshaaminishwa kwamba mwanamke ni kiumbe mvumilivu hata umkosee vipi atavumilia tu kwahiyo nao wanaendelea na hizo tabia wakijua kwamba wake zao wataendelea kuwavumilia tu
 
Tatizo watu hawataki kuelewa au sijui ni ubishi tyuu.!! Iko hivi kama vile mwanaume ni ngumu kumtenganisha na kipochi manyoya vivo hivyo na wanawake huwezi kuwatenganisha na pesa..!! Hapo sasa kila mmoja ni “kula kutokana na urefu wa kamba yake.”
Kawaida mtu anapoambiwa ukweli anahisi ameonewa,ila unachokisema Ni sahihi Kbsa.
Wanaume wengi wa siku hizi Ni walaini Sana hawataki kutekeleza majukumu yao,kazi kuzalisha tu na kusepa( deadbeat fathers)
 
Kawaida mtu anapoambiwa ukweli anahisi ameonewa,ila unachokisema Ni sahihi Kbsa.
Wanaume wengi wa siku hizi Ni walaini Sana hawataki kutekeleza majukumu yao,kazi kuzalisha tu na kusepa( deadbeat fathers)
Ni wapumbavu ndiomana baadhi wanakimbia majukumu wanaenda kuolewa na mijimama au wanaume wenzao..!! Midume mizima na vipira vyao wanakimbia majukumu.!!
 
Back
Top Bottom