Mwanaume ambaye siwezi kuwa na mahusiano naye ni wa aina hii...

Ma engineer veepe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kudate na mimi je?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vigezo sina man, umeweka high standards kiasi kwamba yeyote atakaeukwaa lazima apwaye. Tutabadili katiba utawale milele.

Hili kundi muhimu sana. Ndio maana mleta uzi hawezi hata kuliwazia achilia mbali kulitaja.
Wabeba boksi ni muhimu ndio maana mzee wa Msoga aliwaita waje kusaidia kuendeleza home.

Tena jina kubwa diaspora.
 
Wabeba maboksi hata ‘honorable mention’ hatujapata....

Aiseee!! Hahahaaaa.
Wabeba boksi ni muhimu ndio maana mzee wa Msoga aliwaita waje kusaidia kuendeleza home.

Tena jina kubwa diaspora.
 
Hao wote uliowataja ni watu wanaozunguka social circle yako hivyo wewe ni mwanamke wa uswahilini mvaa madera...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…